Mabasi ya 'Dar Express' yanahujumiwa?

Asee wewe ni bingwa wa kuraramika.....kwani ulisafili mala ngapi?

Tafadhali sana andika kiswahili. Kuraramika maana yake nini? Ulisafili mala ngapi ina maana gani kwa kiswahili? Acheni kuandika lugha za kijijini kwenu
 
Ukweli ni Kwamba tangu mmiliki wa Dar Express (Mr. Mremi) afiwe na mke wake... biashara zake zimeanza kwenda kombo!! wafanyakazi wanajibu wateja wanavyotaka, madereva wanaendesha gari vibaya...wanavyotaka....abiria wakilalamika wanasimamisha gari au wanaendesha gari mwendo wa kwenda kwa miguu...(taratibu sana) madereva hawajali muda!! yaani ni utumbo mtupiu......yaelekea wafanyakazi walikuwa wanamwogopa Mke wa Mremi mbaya kabisa......
 
Mimi binafsi nakubaliana na hoja kwamba huduma za dar xpress kwa sasa sio nzuri kabisa, kuanzia kauli na matendo ya wakatisha tiketi ofisini kwao, hadi kwa wahudumu ndani ya basi na wapokea/washusha mizigo..wengi wao kauli zao sio nzuri kabisa..mimi yamekwishanitokea binafsi na nimeona abiria wengine wakitendewa visivyo...nilichofanya mimi nikuacha kusafiri na mabasii hayo na kutafuta mbadala mwenye nafuu hadi hapo hali itakavyobadilishwa...ikumbukwe tulikwisha lalamika huku jamvini kipindi cha nyuma kuhusu suala la service za mabasi haya.
 
Ukweli ni Kwamba tangu mmiliki wa Dar Express (Mr. Mremi) afiwe na mke wake... biashara zake zimeanza kwenda kombo!! wafanyakazi wanajibu wateja wanavyotaka, madereva wanaendesha gari vibaya...wanavyotaka....abiria wakilalamika wanasimamisha gari au wanaendesha gari mwendo wa kwenda kwa miguu...(taratibu sana) madereva hawajali muda!! yaani ni utumbo mtupiu......yaelekea wafanyakazi walikuwa wanamwogopa Mke wa Mremi mbaya kabisa......

HILI NENO LINAWEZA LIKAFAA::

"Asiyekuwepo na lake halipo" Rest In Peace Mama Mremi! Matendo yake yatafuatana naye!

Baba Mremi ni kazi kwako kujiuliza ulikokosea urekebishe mapema iwezekanavyo!
Maana ni dhahiri kabisa ya kwmb Baba kuna kitu ameloba baada ya kifo cha Marehemu Mama!
 
  • Thanks
Reactions: RR
Tafadhali sana andika kiswahili. Kuraramika maana yake nini? Ulisafili mala ngapi ina maana gani kwa kiswahili? Acheni kuandika lugha za kijijini kwenu

Kijana kasome kilichoandikwa.....soma posti zote.....
 
Hivi sasa abiria wa mabasi ya 'Dar Express' wanalazimishwa kulipia huduma za Choo katika stendi ya mabasi hayo mjini Moshi.

Hebu fikiria hata baada ya kulipa 30,000/- nauli, na kulazimishwa kula kwenye mgahawa wao pale Korogwe na halafu kuletwa kwa nguvu hadi stendi yao wenyewe pale Moshi ambako pia wengi hununua vinywaji au chakula kwenye mgahawa wao wa kituoni hapo. Bado sasa watu wanalazimika kulipa 200/- kuingia maliwatoni.

Huu sasa si ujambazi? Hata hivyo napenda kuamini kuwa uhuni huu pengine mhusika mkuu (Mzee Mremi) haujui na kwamba ni kazi ya watumishi wake wa hapo Moshi ambao baada ya kufuja hela wakati wa sikukuu wanalazimisha watu wawachangie.

Ila ikiwa itatokea kuwa mwenye mabasi pia amebariki nadhani ni wakati mwafaka wa kuya-boycott haya magari. Aliye na contact za Mremi (directly) ajaribu kumstua huyu mzee, asije akafa kwa presha siku biashara yake ikielekea njia ya Scandinavia Express!!!
 
pole sana watu wanatafuta hela kila sehemu watu wanatoza mkwanja mwanzo mwenga hii ni sababu ya biashara huria...
 
sasa wewe kwakua ni mpinga shetani basi kila kitu unapingaa weeeh! mkojo si wako?? sasa ulitaka nani akulipie?? hata hiyo migahawa yote ni classic..hata sijui mpendweje viumbe wazito..
 
Walikupa risiti ya baada ya malipo? kuwa umeingia k.u.n.y.a, kama huna tutathibitishaje? Mia mbili ndogo sana ukilinganisha ni 30 uliyotoa.
 
Nahesabu post za kuiponda dar express zinazidi,nahisi kuna jambo hapo!....si heri hao wana choo kina maji na pia unajisetiri kuliko hao wanaokusimamisha porini ukajisaidie kichakani au vyoo vya manispaa wanajisaidia makuli wamepaka vinyesi ukutani
 
Una hakika na hilo? Nilikuwa hapo juzi jumanne na nimeitumia huduma yake bila malipo yoyote.
 
Duh! Haya ni majingu, wivu, usda na roho mbaya.
Ushauri nunua mabasi yako utoze sh 2000 na uweke choo cha bure.
 
Mtoa mada ni bus stand gani ambayo intoa bure hiyo huduma? Au unataka wakupeleke stand kuu?
 
Hivi sasa abiria wa mabasi ya 'Dar Express' wanalazimishwa kulipia huduma za Choo katika stendi ya mabasi hayo mjini Moshi.

Hebu fikiria hata baada ya kulipa 30,000/- nauli, na kulazimishwa kula kwenye mgahawa wao pale Korogwe na halafu kuletwa kwa nguvu hadi stendi yao wenyewe pale Moshi ambako pia wengi hununua vinywaji au chakula kwenye mgahawa wao wa kituoni hapo. Bado sasa watu wanalazimika kulipa 200/- kuingia maliwatoni.

Huu sasa si ujambazi? Hata hivyo napenda kuamini kuwa uhuni huu pengine mhusika mkuu (Mzee Mremi) haujui na kwamba ni kazi ya watumishi wake wa hapo Moshi ambao baada ya kufuja hela wakati wa sikukuu wanalazimisha watu wawachangie.

Ila ikiwa itatokea kuwa mwenye mabasi pia amebariki nadhani ni wakati mwafaka wa kuya-boycott haya magari. Aliye na contact za Mremi (directly) ajaribu kumstua huyu mzee, asije akafa kwa presha siku biashara yake ikielekea njia ya Scandinavia Express!!!

riz1 in operation....tumeshawastukia, mlianza kuyafungia mabasi eti 'yanapata ajali sna' ikafuata kuingiza mabasi yenu zaidi ya 100 sasa mnataka kuichafua dar express magari ya kitambo hapa bongo kwa uchu wa fedha. mimi nakushauri ukajipange sawasawa, watz wa sasa sio wajinga tena....na pia ni vizuri umwambie anaewatuma kwamba hii nchi ni yetu sote, wale wazee(darexpress) mmewakuta hapa town msicheze nao kiurahisi namna hiyo. ni ushauri tu.
 
unasema choo kinamilikiwa na DAR EXPRESS AU NI CHOO CHA STENDI?

Pale Moshi Dar Express wana stendi yao wenyewe hawashirikiani na mabasi mengine isipokuwa ya kwao. Pia wana mgahawa pale. Sasa nashangaa kwa nini wawatoze watu kutumia choo kwani migahawa ya mjini yote si inastahili kuwa na choo cha wateja?

Hivi naweza kukupeleka nyumbani kwangu, kwa gari langu mwenyewe amabalo nimekutoza nauli halafu nikuchaji kutumia choo. Tena baada ya wewe kununua chakula nilichopika mwenyewe? Kuna wengine humu nadhani hawaelewi
 
mkuu hizi ni zama za kibiashara(no free lunch) hata DE anaweza kuwa amempa mtu kazi ya ku-run hiyo maliwato...ina umeme,maji,sabuni,toilet paper nk hivyo ni huduma tu kama nyingine
pale Tokyo kuna hotel unalipia chumba lakini ku-watch TV chumbani kwako lazima u-insert coin na pia kuna vyumba havina shower mpaka utoke nje u-insert coin pia
hizo ni Value Added Servises-VAS!
 
Hivi sasa abiria wa mabasi ya 'Dar Express' wanalazimishwa kulipia huduma za Choo katika stendi ya mabasi hayo mjini Moshi.

Hebu fikiria hata baada ya kulipa 30,000/- nauli, na kulazimishwa kula kwenye mgahawa wao pale Korogwe na halafu kuletwa kwa nguvu hadi stendi yao wenyewe pale Moshi ambako pia wengi hununua vinywaji au chakula kwenye mgahawa wao wa kituoni hapo. Bado sasa watu wanalazimika kulipa 200/- kuingia maliwatoni.

Huu sasa si ujambazi? Hata hivyo napenda kuamini kuwa uhuni huu pengine mhusika mkuu (Mzee Mremi) haujui na kwamba ni kazi ya watumishi wake wa hapo Moshi ambao baada ya kufuja hela wakati wa sikukuu wanalazimisha watu wawachangie.

Ila ikiwa itatokea kuwa mwenye mabasi pia amebariki nadhani ni wakati mwafaka wa kuya-boycott haya magari. Aliye na contact za Mremi (directly) ajaribu kumstua huyu mzee, asije akafa kwa presha siku biashara yake ikielekea njia ya Scandinavia Express!!!

Kama wateja hawalazimishwi kutumia hiyo huduma sioni tatizo hata kidogo. Tujenge tabia ya kuthamini na kulipia huduma tunayopewa kwani nyuma yake kuna mtu ameifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom