Tetesi: Mabasi ya Abood kuanza safari za Kampala na Karagwe

Hiyo kampuni niya Mzanzibari haina faida yoyote sisi tunataka bandari kwanza usafiri wa uganda upo tuu
Abood sio Mzanzibar,Abood asili yao ni yemen..baba yake mzee mohamed Abood alitoka Yemen moja kwa moja akaenda kuishi Morogoro kupigapiga dili ndio akafikia pale..

Kwenye masekeseke ya uhujumi uchumi enzi hizo aliwahi kuwekwa ndani yeye na mwanae mkubwa Tarari kabla ya kukutwa hawana hatia
 
Back
Top Bottom