Tetesi: Mabasi ya Abood kuanza safari za Kampala na Karagwe

Nimesikia tetesi za kampuni ya mabasi ya Abood kuanzisha safari mpya za mkoa wa Kagera.

Naomba mwenye taarifa juu ya tetesi hizi anifahamishe.

Safari zitaanza lini?
Atakuwa amefanya vyema sana kama anaongeza route ya kutokea karagwe kwenda Dar au popote TZ mpaka Uganda maana tayari anayo route ya Bukoba - Dar. Hii itasaidia sana huko Karagwe ambako kwasasa kuna mabasi ya Arusha to Karagwe, Mwanza to Karagwe na Musoma to Karagwe
 
Back
Top Bottom