Matukutuku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 269
- 126
Wadau salama huku. Naomba kujuzwa mabasi mazuri ya kwenda Mwanza kutokea Dar es Salaam na nauli zao.
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani
Isamilo hapana aiseeallys star
tanzanite
frester
isamilo
Assnte sanaallys star
tanzanite
frester
isamilo
Kwa nini aisee??Isamilo hapana aisee
Hamna gari hapo achukue Dar luxallys star
tanzanite
frester
isamilo
Panda ndege kijana, dakika 45 tu upo zoo acha ubahili kushinda siku nzima kwenye siti hadi uliyekaa naye anakuwa kama nduguyo..Wadau salama huku. Naomba kujuzwa mabasi mazuri ya kwenda Mwanza kutokea Dar es Salaam na naulibzao.
Natanguliza shukrani
Dar lux imeshajifia siku nyingi kabakiza gar moja tu wadau wanaiita yatimaHamna gar hapo achukue Dar lux
Pengine huyo jamaa Mara ya mwisho kusafiri ni mwaka juzi....Dar lux imeshajifia siku nyingi kabakiza gar moja tu wadau wanaiita yatima
Dar lux sijui kilimkuta nn maana alishusha marcopolo G7 mpya akazipeleka had bukoba ila baada ya muda mfupi kapotea kweny raman sjui shda nnPengine huyo jamaa Mara ya mwisho kusafiri ni mwaka juzi....
Dar Lux ilishazikwa kitambo
DuuuhDar lux sijui kilimkuta nn maana alishusha marcopolo G7 mpya akazipeleka had bukoba ila baada ya muda mfupi kapotea kweny raman sjui shda nn
Sijafurahishwa na hizo bus ndani zimechoka hakuna Ac,,seat n mbovuKwa nini aisee??
Mali za mkataba mzee lazima uelewe zina expire dateDar lux sijui kilimkuta nn maana alishusha marcopolo G7 mpya akazipeleka had bukoba ila baada ya muda mfupi kapotea kweny raman sjui shda nn
Kumbe Mwanza hakuna mabasi ya abiria 35 Yale ya 1 by 2 psgs in a row Kama ya TANGA na Dodoma.Allys star
Tanzanite
Frester
Isamilo