Mabasi kama ya Dar Express yanauzwaje?

Mabasi kama ya Dar Express yanauzwaje?

yap kuna njia nyingi nzur sana dar mwanza ni njia nzuri sana kwa kutengeneza jina ukiwa na gari zako tofauti na uende na muda
Ukiwa unajali wateja(huduma kwa wateja nzuri) ,unaenda na muda na vitu vingine vidogo dogo mbn shfre sana tu...

Mfano kimotco kuna kipindi alikuwa anajaza wateja alikuwa anatoka arusha-iringa kabla ya kupita kondoa,alikuwa anatoa soft drink za chupa ile mida ya saa tatu au saa sita kutoka singida kuitafuta dom baadae sasa sijui imekuaje naona wateja wamepungua hivi.

Kuna jamaa kazungumzia kufunga mobile satellite dish hiyo ni nzuri watu wamechoka na maflash disk....

Wanataka wajue updates kila baada ya muda fulan,ni vitu vingi ofcource sema hatuna utamaduni wa kuwa na business plan think kama zambia kuanzia saloon ana business plan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo mobile setilites nimeizungumzia mimi.
mara nyingi unapopata jina unajisahau na hapo ndo unakuta biashara nyingi za kibongo zinaanguka. Lakin lait wangekuwa waanajiri wasomi na watu wenye malengo wangefanikiwa sana. Kuwa na biashara ya basi sio kusafirisha abiria tu kuna vitu kama parcels,ukiwa vizuri unaweza kuwa na hata na online games ambazo mtu anaweza akawa analipia kucheza na ukapata commision na huduma nyingi tu ambazo lait kama ukizianzisha zinaweza lipa vizuri.
Kukosekana kwa muona ndo maana unakuta kampuni ibakimbilia kwenye ununuz wa gari bei che ili ziwalipe haraka baada ya miaka kampuni inakufa. Makampuni mengi yanakufa kabla hata gharama za kununua mabasi hazijafika.
Kama kuna gest za 10000 na 15000 lakin unakuta zile za 20000 kwa mji kama dodoma kabla ya hata ya hizi za 10000. Ukweli kuwa binadam yoyote yuko radhi kulipa gharama kubwa kwa kitu kidogo sana kama tv au gest kuwa na ac na asiitumie hata kidogo pamoja na kuwa unaweza kuta kaacha nyingi tu zisizokuwa na ac na za bei ya chini
 
Wanajaza ndugu ni kheri wangekuwa hata na elimu au ufahamu wa kujiongeza kumshauri ndugu yao wanacho jua ni kupokea pesa hawajui zinatafutwaje,wengi wao wapo hivo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo anapata faida mwendelezo tu. Kinachoafanyika hapo alipa asilimia 30. Hizo nyingine zinazobakia analipa kwa installment, anacholazimika kulipa hapo ni bima kubwa tu. Gari inaendelea kufanyiwa service na scania wenyewe. Badala ya kutoma 400mil kununua bas la kichina yeye anachukua mkopo labda tuseme alipe milion 250. Akichukua kwa mkopo wa miaka mitano analazimika si juu ya milion 15 kwa mwezi.
Ili uione faida hapo lazima uliweka basi kwenye ruti ndedu ambalo nauli ni kubwa na hata mahesabu ya siku yasipungue900k. Sasa kwa mwezi akisema afanye kwa muda wa siku28 na akija toa gharama ya mkopo anaweza baki na hata milion kadhaa baada ya mkopo. Kumbuka hata wakati wa kupiga mahesabu ya kodi gharama halisi ya mkopo itakuwa inaonekana hivyo kupunguza maumivu ya tra.
Ukiangalia biaashara zote za usafirishaji wa vyombo vyote ni mwendo wa mikopo maana havitabiriki.kwahiyo unapochukua mkopo unatawanya maumivu hasa inapotokea hasara ambayo hailipik.
mfano unanunua gar cash kwa milion400 ukiweka bima kama 600. Baada ya week linagongana au kuungua. Hasara kubwa.
Ila matajiri wetu wengi ni kuigana. Huduma zero na ndo maana mpaka sasa pamoja na kuwa na bei elekezi hakuna ambaye ashafikia ile maximum cap.
Mfano dar-mwanza semi luxury bei elekezi ni 61000 lakin karibia wote ni 40000 hasara ya 20000. Sababu huduma ni za kuigana. Mtu ana mabasi karibia 20. Yaani mtaji wa 400mil*20=8bilion ila anashindwa kulipia labda milion tano kwa mwez ili ajitngaze redion au anashindwa kuwa na mfumo wa mzur wa kukata ticket anabaki tegemea wapiga debe matokeo yake kwenye 40 anabaki na30 bado mafuta,dereva, ufundi na kadhalika.
biashara ya mabasi inalipa sana tena sana kinachohitajika unapoanza ujitoe kikwekweli. Utoe huduma za uhakika uajiri watu profeshino na kuachan na masuala ya kujaza ndugu, ununue vipuri orijino.
Wekeza kwenye huduma nzuri.mteja asafiri kama mfalme, hapa kwenye huduma zikiwa nzuri hata kama ukiweka nauli ya 85000 dar mwanza utajaza watu, kinachoharibu ni huduma.
Kama unaweza funga ac. Ya basi kwa milion kumi unashindwaje kufunga mobile setelite dish kwa hiyo gharama hiyo ukaweka watu wakaenda wanacheck uefa kwa gari hilo hilo.

Nitakutafuta siku za usoni.
 
y

yap kiukweli mtu kama kisesa kushusha bei inastaajabisha maana tayari anajina. Nakumbuka miaka ya nyuma allys sport tulikuwa tunalipa nauli 60000 dar mwanza na kipindi hicho karibia mafuta, vipur ha posho zilikuwa kidogo. Leo hii 40000 mafuta juu kila kitu juu halafu tunasema biashara ngumu.
Hivi arusha dar mtu analipa karibia 32000 na kila siku kilimanjoro exp anatoa gari zaid ya kumi na dar mwanza ambako ni km 1200 na kuna tofauti ya karibia km 600 eti unalipa 40000.

Ally's sports bus(ndege ya chini)nauli ilkua 42000 by then sio 60 na ni coz ya mwendo sio huduma as u know mwanza is about 1200kms

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ally's sports bus(ndege ya chini)nauli ilkua 42000 by then sio 60 na ni coz ya mwendo sio huduma as u know mwanza is about 1200kms

Sent from my iPhone using JamiiForums
mhh kweli kaka mimi nimelipa mara kibao hiyo nauli ya 60. Ishu yangu haikuwa huduma allys ila kushuka kwa nauli lakin kama uliwahi lipa hiyo 40000 sawa inawezekana nilikuwa naibiwa
 
Ally's sports bus(ndege ya chini)nauli ilkua 42000 by then sio 60 na ni coz ya mwendo sio huduma as u know mwanza is about 1200kms

Sent from my iPhone using JamiiForums
ila bei elekez dar mwanza unajua ni61000 kwa semi luxury na hakuna anayechaji hio nauli?
 
Napataje mkopo wa hayo madude. Nianze na ma2. Tunduma-Dar

Sent using Jamii Forums mobile app
Mhh ndugu sio kukopwa tu hawa watu wanapenda wasome kwanza mtiririko wako kwanza wa pesa kama unaruhusu lakini kama uko poa karibia makampuni mengi ya magari yanakopesha.
Mfano scania sijafuatilia kama kwetu inafanyika ila sehem kama south africa inafanyika sana wa aina tatu za mikopo
scania ambayo ni:
SCANIA FINANCIAL LEASE.
hapa unakuwa ni mmilikk wa gari unakuwa unalipa gharama ya kukodi gari muda mliokubaliana baada ya mda kuisha una option ya kununua au kurudisha .
FAIDA
Unalipia gharama ya kukodi tu.
Scania wanaendelea kulifanyia service gar lao kwa muda wote
gari kwenye masuala ya kimitaji litaendelea kuonekana kuongeza asset kuwa ni nyingi hivyo hata ukienda kukopa bank mtaji unasomeka vizuri ingawa hutaruhusiwa kukopea.
SCANIA LOAN AGREEMENT.
Gari linakuwa lako na unalitumia kukopa mkopo ambao utalipa kwa installment

Mengine sijui lakini nina uhakika ukiwa na mzunguko mzuri na mtaji anzilishi na hela ya kulipia bima kubwa makampuni mengi unapata mikopo
 
Nimekuelewa sana mkuu,asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom