Mabasi haya mnayakumbuka?

vipi mwendo wa saa, nadhan ilikuwa dar -songea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wifi, na buti la zungu, dar mtwara Haya hayakuwepo ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SHARUKS
BIN KLEB
MBARAK
Yananikumbusha O level pale Morogoro Secondary.

Naongezea MTU KWAO, MORETCO na AL JABRY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikuwa na Tanganyika Bus pia makao makuu yake yakiwa Mwanza. Bus linaondoka Mwanza kila siku saa 10 jioni na jingine linaondoka Dar saa 10 hiyo hiyo. Kufika mwisho wa safari ni saa 10 jioni ya kesho yake; yaani baada ya saa 24. Ukiwa Mwanza abiria wanatangaziwa kwa king'ora (kama kwenye stesheni za treni) kwamba bus la kwenda Tabora, au Bukoba au Musoma, au Dar linapakia na litaondoka baada ya dakika kadhaa.
 
Jina jipya la Sumry ni Mbeya Express mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi hizo bus nyingi viti vilikua na sponge ndogo sana baadae walianza taratibu Ku upgrade viti na kuongeza nyama kwenye viti zikaanza itwa Coach na bei ikaongezeka!
[emoji16][emoji16][emoji16] at I in Luxury!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mbona Simba mtoto halipo,Acheni ubaguzi wenu Tanga moja ya mwisho.
 
magoma moto,,,,
 
zafanana nakumbuka msiba wa sokoine ulitukuta tukiwa njiani chalinze to dar na mama japo nilikuwa mdogo lakin niliona namna watu walivyohudhunika baada ya kupata zile habar
 
akili za wanawake wanazijua wenyewe,yuko tayari kumpa dereva penzi,kisa anaendesha gari zuri au anakimbiza sana gari,kweli mshauri wao ni kipofu...
 
Kulikuwa na Lushanga Dar - Geita. Dereva umkute Majeshi ambaye ni mtoto wa tajiri. Mashine Ilikuwa inatembea si mchezo. Super Najmunisa ikiendeshwa na mzee Ngonyani inaondoka Kahama saa 12 asubuhi na Lushanga ikiendeshwa na Majeshi inaondoka Geita saa 12 asubuhi. Lakini kabla ya kufika Manyoni zinaongozana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…