Mabasi haya mnayakumbuka?

Umenikumbusha madereva wa Songea Dar enzi hixo Tawaqal unamkuta Giriki, Kiswele unawakuta Yogi, Okalla na Rwambo, Zainabs unamkuta Shida na Special coach unamkuta John Africa na Mapunda......dah ilikuwa ni moto chini!
Lizaboni home.... kwenda stendi kuvuka mwembechai ilikuwaga mtihani na wale waosh magari enzi hizo... yale madraja mawili
 
Umenikumbusha madereva wa Songea Dar enzi hixo Tawaqal unamkuta Giriki, Kiswele unawakuta Yogi, Okalla na Rwambo, Zainabs unamkuta Shida na Special coach unamkuta John Africa na Mapunda......dah ilikuwa ni moto chini!
Halfu MATIMBULA BUS SERVICE to Peramiho.... Halfu kulikuwa na LITUNU to Magagura
 
Hivi ni lazima wamiliki wa mabus kwa nje waonekane choka mbaya?? Kuna mmoja namfahamu tajiri wa lindi ana mabus meengi ya dar,lindi na mtwara lakini ajabu kwa kutembea kavaa katambili na kushinda kavaa misuli sio ajabu na ndio kawaida kwake..
Imani za kishirikina zilitamalaki
 
yutong,
Igesa Line, Kwacha, Scandnavia na Comfort Video Coach

Hayo niliyowekea red yalikuwa ndo mabasi yangu ya DAR- Iringa. Hiyo ya kwenye bluu yalikuwa mabasi maarufu sana kati ya Dodoma/Mpwapwa na Dar bila kuwasahau Champion.
Yuting au MACOPOLO?
 
Hilo na 6 Ni Tusi kubwa mno kwa watu wa kigoma usiitaje tena
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dereva aliyekuwa anaendesha basi la Air Msae lililopinduka Chalinze na kuua watu wengi anaitwa Jimmy Mlimbira. ni Mkinga. Sasa hivi anamiliki hotel kubwa sana iko Buza Sigara na ana kumbi za sitarehe huko huko Temeke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…