Lowasa picha zenyewe za kuweka kwenye Mabango hana, ndo anazitengenezea Gongolamboto, Tandale, Tandika na kwingineko. Aliisahau hiyo part ya Mabango na matangazo.
Kama hadi leo hujafanya maamuzi unategemea mabango ndipo umjue rais wako ni mtu wa kuhurumia sana.Jiji limependeza sasa ni Magufuli na kauli mbio Hapa kazi tu. Mabango yametapakaa kila kona matangazo ya voda tigo airtel tupa kule.
Najua hayo mabango ni ya kampuni binafsi na kodi hukusanywa na halmshauri husika sina shaka na hilo.
Ila CCM wajanja mmechukua mabango ya sehemu nyeti zote UKAWA sijui wataweka wapi mabango yake.
#Lowassa 2015
Lowassa anajulikana hadi vijijini hana haja ya kuongeza cost ya kubandika picha za kujiza, kazi ya kujiuza ni ya Pombe ambaye anajulikana sehemu chache zenye barabara ya lami.hana lolote,kwaanza ata huo mvuto wa kuwekwa kwenye mabango anao?inshort hana mvuto na wala hauzike kwenye mabango na ndio maana haoni umuhimu wa kuweka mabango mjini.mamvi kwisha kabisa na ndio maana amebuni njia nyingine ya kufanya kampeni ya uvamia kwenye vituo vya daladala.wizi mtupu hatudanganyiki kwa hilo.
Lowasa picha zenyewe za kuweka kwenye Mabango hana, ndo anazitengenezea Gongolamboto, Tandale, Tandika na kwingineko. Aliisahau hiyo part ya Mabango na matangazo.
Nimeyaona hayo mabango, mimi naifahamu gharama ya kutengeneza kila bango, yaani production cost, kutokana na size ya bango, halafu pia nafahamu rental fees za kubandika kila bango according to size and location, hivyo kupitia sheria ya gharama za Uchaguzi, the public has the right to know, CCM sio tuu kwa nini imetumia gharama kubwa kuliko zilizoainishwa kisheria, bali pia vyama vinawajibika kuwataja wafadhili wao na kiasi walichofadhili, lazima itaje source ya hizo fedha, na kama imepewa offer kutoka kampuni ya A1, then ipigwe hesabu yote ya hiyo offer, then tufuatilie TRA kama hao AI wamelipa kodi stahiki kwa offer zake kwa CCM, ili isije kuwa this time CCM imeishatafuta kichaka kingine kama cha Kagoda kilichomuingiza Mukulu Ikulu, na ufadhili kwa CCM kisije kuwa ni kichaka cha ukwepaji kodi, vinginevyo kama wafanya biashara wako huru kuchangia chama chochote cha siasa, alimradi kwanza michango hiyo ionekane wazi kwenye mahesabu, pili vyama vitaonyesha source za pesa hizo, na mwisho pesa zote zitalipiwa kodi stahiki!.Jiji limependeza sasa ni Magufuli na kauli mbio Hapa kazi tu. Mabango yametapakaa kila kona matangazo ya voda tgo airtel tupa kule.
Najua hayo mabango ni ya kampuni binafsi na kodi hukusanywa na halmshauri husika sina shaka na hilo.
Ila ccm wajanja mmechukua mabango ya sehemu nyeti zote ukawa sijui wataweka wapi mabango yake.
# Lowasa 2015
Jiji limependeza sasa ni Magufuli na kauli mbio Hapa kazi tu. Mabango yametapakaa kila kona matangazo ya voda tigo airtel tupa kule.