Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
Songombinde ya sakata la sarawili imeniacha nikijiuliza kama kuna mambo yoyote yale ya "kiintelinjensia" yanayotumwa na mabalozi au watumishi wa balozi zetu kutoka ng'ambo kuja huku nyumbani. Maana kuna mengi ambayo yamekuwa kero hapa nyumbani yaliyotokea nje ya nchi ambako tuna mabalozi wetu. Kuanzia mikataba mibovu ya madini, bidhaa feki, kupunjwa kwenye mauzo, n.k. n.k. Ni nini basi wanachokifanya huko ukiachilia mbali kusaidia mara moja moja Watanzania wanaopoteza maisha ughaibuni na kupokea wageni wa serikali kwenye ziara zao huko??! Or are we too intelligent to gather some intelligence overseas???
Mbona nchi kama Marekani mabalozi, watumishi na majasusi wao wanaonekana kutuma kila kitu ambavyo vingine hata hapahapa Bongo si wenyewe hatuvijui?? Somehow I just wish hizi cables za wikileaks zingelihusu ubalozi wa serikali ya Uingereza, maana connection yao na mambo wafanyayo na viongozi wa nchi yetu ni ya kutuacha midomo wazi!!!