figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
bariadi cdm lazima ishindeWatoe ratiba ya Bariadi kwa Chenge na Monduli mechi zihamie na huko pia baada ya rasharasha ya Igunga.
kwani kiongozi wao wa dini hajawaelekeza???????????mabalozi 18 wa ccm wa igunga wamejivua gamba.wamesema ccm imeshinda kwa sababu walikuwa wanatoa rushwa na ushahidi upo na wanaeleza pia jinsi m/kiti wao alivyokua anasambaza 45mil.wasema ijumaa ijayo watatangaza wanaenda chama gani.
wakati huo huo aliyekua mgombea wa ubunge kupitia cuf kasema hatagombea tena kwa sababu hana hela.anasema angekua na hela angeshinda.anasema kura zake 9000 zimenunuliwa na ccm.
source;ABDALLAH RAMADHAN WA WAPO RADIO
MY TAKE;
hela za rushwa zinaisambalatisha ccm.mia
wamepunjwa mgaohawa mabalozi nao ni kama matahira watu wazima wanadanganywa wanakubali kwa nini hawakuyasema hayo wakati wa uchaguzi, au kama walijua ni rushwa kwa nini hawakukataa?? hawa ndio walikuwa wanaongoza kwa kununu shahada pumb.fu
hawa mabalozi nao ni kama matahira watu wazima wanadanganywa wanakubali kwa nini hawakuyasema hayo wakati wa uchaguzi, au kama walijua ni rushwa kwa nini hawakukataa?? hawa ndio walikuwa wanaongoza kwa kununu shahada pumb.fu
katika hali isiyo tarajiwa mabalozi wa nyumba kumi chini ya ccm wamejitoa katika chama hicho wakikituhumu kutumia rushwa kubwa katika uchaguzi huo na kuwalazimisha kushiriki kugawa. wanadai si haki hata kidogo na ushahidi wanao!ila hawajasema wanahamia chama gani. news from wapo fm. ushahid kwa chadema huoo!! mtajiju mnao endelea kushikilia bomu linalotaka kulipuka muda c punde!!!

mabalozi 18?!!!! hawa ndio wametumika kununua shahada leo wanajivua gamaba kwa lipi?