figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,890
Mabalozi 18 wa CCM wa Igunga wamejivua gamba. Wamesema CCM imeshinda kwa sababu walikuwa wanatoa rushwa na ushahidi upo na wanaeleza pia jinsi m/kiti wao alivyokua anasambaza 45mil.
Wasema ijumaa ijayo watatangaza wanaenda chama gani.
Wakati huohuo aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia CUF kasema hatagombea tena kwa sababu hana hela. Anasema angekuwa na hela angeshinda. Anasema kura zake 9,000 zimenunuliwa na CCM.
Source: ABDALLAH RAMADHAN WA WAPO RADIO
MY TAKE:
Hela za rushwa zinaisambalatisha CCM