Mabalozi wa CCM Igunga wataka kujivua gamba; Wadai rushwa ilitumika

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,485
54,859
Mabalozi 18 wa CCM wa Igunga wamejivua gamba. Wamesema CCM imeshinda kwa sababu walikuwa wanatoa rushwa na ushahidi upo na wanaeleza pia jinsi m/kiti wao alivyokua anasambaza 45mil.

Wasema ijumaa ijayo watatangaza wanaenda chama gani.

Wakati huohuo aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia CUF kasema hatagombea tena kwa sababu hana hela. Anasema angekuwa na hela angeshinda. Anasema kura zake 9,000 zimenunuliwa na CCM.

Source: ABDALLAH RAMADHAN WA WAPO RADIO

MY TAKE:
Hela za rushwa zinaisambalatisha CCM
 
mgombea pekee kupitia chama cha kafu amesema hagombei tena ubunge eti yeye ni masikini hawez kuhonga kama ccm ,
hata mtaji wake 11elfu umenunuliwa na ccm.
chanzo cha habari wapo fm.
je mnamsikitia au amestahili?
 
Mabalozi 18 wameamua kukihama CCM kwa kile walichodai ni ubadhirifu wa resources isivyohalali wakati wa uchaguzi ikiwa ni pamoja na rushwa. Hawajaamua wanahamia chama gani bado but CDM yawezakuwa kimbilio. Walitoa mfano wa rushwa kuwa ni katika mtaa wa KOKOTO ambapo laki tano zilitolewa kwa watu 48 na iliposhindikana kugawiana kwa haki ndio siri zikaanza kuvuja, wanadai pesa zilizomwaga zilikua kufuru lakini pia walilazimishwa kuvunja sheria ili kulinda maslahi. Sijui kama CCM watafika
Source: WAPO RADIO
 
hiyo nimeisikia live wapo radio. ccm bila rushwa haiwezekani
 
Nadhani huu ni mwanzo tu mwa mengi tutakayoyasikia kuhusu Igunga na CCM. TAKUKURU walikua wapi? Polisi walikua wapi? ni wahalifu wapi wanaowindwa? mhalifu ni nani au yupi kwa nani na kwa vipi?
 
mabalozi 18?!!!! hawa ndio wametumika kununua shahada leo wanajivua gamaba kwa lipi?
 
Watoe ratiba ya Bariadi kwa Chenge na Monduli mechi zihamie na huko pia baada ya rasharasha ya Igunga.
 
Mbona mie niliweka thread hapa ya rushwa na uchaguzi kuwaambia greath thinkers, mie najua CCM siku zote hufanya hivyo, na kibaya wananchi (haswa wazee na watu wa makamo-ambao tena wamechapika ) huuza uhuru wao na wa kukubali kuuza kura kwa elfu moja..
 
mabalozi 18 wa ccm wa igunga wamejivua gamba.wamesema ccm imeshinda kwa sababu walikuwa wanatoa rushwa na ushahidi upo na wanaeleza pia jinsi m/kiti wao alivyokua anasambaza 45mil.wasema ijumaa ijayo watatangaza wanaenda chama gani.
wakati huo huo aliyekua mgombea wa ubunge kupitia cuf kasema hatagombea tena kwa sababu hana hela.anasema angekua na hela angeshinda.anasema kura zake 9000 zimenunuliwa na ccm.
source;ABDALLAH RAMADHAN WA WAPO RADIO
MY TAKE;
hela za rushwa zinaisambalatisha ccm.mia
kwani kiongozi wao wa dini hajawaelekeza???????????
 
hawa mabalozi nao ni kama matahira watu wazima wanadanganywa wanakubali kwa nini hawakuyasema hayo wakati wa uchaguzi, au kama walijua ni rushwa kwa nini hawakukataa?? hawa ndio walikuwa wanaongoza kwa kununu shahada pumb.fu
 
Hao mabalozi wamekula pesa halafu ndio wanatambua uchafu wa chama chao!
Wakijiuzulu wanafanya hivyo kwa manufaa ya nani?
Wanataka kumwanika nani kwa hatua yao hiyo? Mwenyekiti/katibu wa Chama au mbunge waliyempitisha?
Huu ni unafiki wakaee humohumo(ccm). Walitakiwa kurudisha kadi zao kabla ya uchaguzi hapo tungewaona waungwana.
 
hawa mabalozi nao ni kama matahira watu wazima wanadanganywa wanakubali kwa nini hawakuyasema hayo wakati wa uchaguzi, au kama walijua ni rushwa kwa nini hawakukataa?? hawa ndio walikuwa wanaongoza kwa kununu shahada pumb.fu
wamepunjwa mgao
 
CDM msikubali kuwapokea hao wanafiki, watawafanyia kama wale wanafiki, madiwani wa Arusha Mjini!
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
katika hali isiyo tarajiwa mabalozi wa nyumba kumi chini ya ccm wamejitoa katika chama hicho wakikituhumu kutumia rushwa kubwa katika uchaguzi huo na kuwalazimisha kushiriki kugawa. wanadai si haki hata kidogo na ushahidi wanao!ila hawajasema wanahamia chama gani. news from wapo fm. ushahid kwa chadema huoo!! mtajiju mnao endelea kushikilia bomu linalotaka kulipuka muda c punde!!!
 
Ngoja tuone kwanza,sitaki kushangilia hili nisije nikafa kwa presha ya furaha.....
 
katika hali isiyo tarajiwa mabalozi wa nyumba kumi chini ya ccm wamejitoa katika chama hicho wakikituhumu kutumia rushwa kubwa katika uchaguzi huo na kuwalazimisha kushiriki kugawa. wanadai si haki hata kidogo na ushahidi wanao!ila hawajasema wanahamia chama gani. news from wapo fm. ushahid kwa chadema huoo!! mtajiju mnao endelea kushikilia bomu linalotaka kulipuka muda c punde!!!

Hawa nao hawaaminiki hata kidogo, wakipewa kofia, t-shirt, kanga, sidiria etc, watabadili misemo, achana nao!!!!!!!!!!!
 
mabalozi 18?!!!! hawa ndio wametumika kununua shahada leo wanajivua gamaba kwa lipi?

Njaa mkuu...na inawezekana roho wa Mungu kawatembelea na kuongea nao,kimsingi ni dhambi kubwa sana ukifanya hivyo,maana shida za wananchi zitakuwa juu yako..mateso yao utakuwa umeshiriki pia!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom