Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 4,124
- 6,141
Kabla sijaja public na kudeclare nia yangu ya kutaka kuwa Rais wa Tanzania ilinibidi kwa jasho na damu nijufunze uongozi ni nini??? unfortunately elimu haifundishi masomo ya uongozi kwa hiyo ilinibidi binafsi nijufunze kwa nguvu zote uongozi ni nini
Na moja ya mambo niliyojifunza ni hili "mabadiliko yamefungwa kwemye ubaya"
Kwanini iko hivi
Ngoja nikupe mifano ifuatayo utanielewa vizuri navyosema mabadiliko yamefungwa kwenye ubaya
Yako mengi sana lakin hayo ni baadhi mambo ya msingi ya msingi ya kufahamu
Mambo muhimu ya kuzingatia
Kama reform zikija kwa njia hizi wanazotumia sasa kabla ya uchaguzi basi ntakuwa nimejifunza jambo jipya ambalo nilikuwa silijui huko nyuma sababu napenda kujifunza mambo mapya
Nikama mimi nilivyoanza harakati zangu za kuwa Rais wa Tanzania ni ngumu na chungu sana haitakuwa rahisi hata kidogo nimefahamu haya kabla hata ya kutokuanza hii movement mimi sahivi nina miaka 33 sitashangaa hata nikifanisha lengo la kuwa rais wa Tanzania nikiwa na miaka 50 au hata 60 sitashangaa
Mfano sisi wakristo tunajua Mungu alimtokea Musa nakumtuma nenda kawatoe wana-waisrael ila musa alifanya attempt tisa na alifeli zote ya kumi ndo akafanikiwa
Unasema nini ilibidi Mandela akae miaka 27 jela ndo makaburu waachie madaraka haikuwa kazi rahisi
www.jamiiforums.com
Na moja ya mambo niliyojifunza ni hili "mabadiliko yamefungwa kwemye ubaya"
Kwanini iko hivi
- Walioko kwenye mfumo wananufaika nao hawawezi kukuachia kirahisi
- Hata wakikuachia watahakikisha unawalinda haya tunayaita mabadiliko danganya toto
- Ndo maana mabadiliko ya kweli yamefungwa kwenye ubaya na ni magumu sana
Ngoja nikupe mifano ifuatayo utanielewa vizuri navyosema mabadiliko yamefungwa kwenye ubaya
- Kuanzia miaka ya 1980's Tanzania ilipitia wakati mgumu sana wa kiuchumi watu wengi sana wanalaumu vita ya kagera ila wajuzi wa mambo tunafahamu kabisa nature ilimkataa Nyerere kwa kutengeneza mazingira ya vita na kuiacha nchi kwenye hali mbaya ya kiuchumi ili Nyerere aondoke, na ubaya wa hali ngumu sana ya uchumi miaka 1980's ulikuwa na lengo la kumtoa Nyerere madarakani sababu kila alichofanya Nyerere ili kutuliza hali alikuwa anafeli baadae alikubali akaondoka madarakani peaceful ukiangalia hii scenario utaona ulianza ubaya ambao ni vita ya kagera ukasababisha hali ngumu ya kiuchumi ndo yakaja mabadiliko ya uongozi akaja Mwinyi
- Tokea miaka ya nyuma kipindi cha Nyerere kulikuwa na mpango wa kuamia dodoma ila kuanzia Nyerere mpaka kikwete marais wote walikuwa wanapiga danadana, niweke wazi mimi magufuli nilikuwa simkubali kwenye mambo mengi ila ile bold move ya kuamisha serikali dodoma bila compromise ule ulikuwa uamuzi bora sana ni moja ya legacy zitakumbukwa mda mrefu sana, sababu watu waliupinga lakin leo hii wote tunafurahia serikali imehamia dodoma lakin ulianza kwanza ubaya ndo yakaja mabadiliko ila angesema afanye kwa kubembeleza au compromise angefeli kama wenzake waliomtangulia.
- Njoo kwenye tukio la bashar Al assad kuondoka madarakani mwaka huu, kumbuka watu walipigana na serikali ya bashar Al assad tokea 2011 ila vita vya Ukraine na tukio la October 7 2023 shambulio la hamas kwa Israel ilikuwa ndo njia ya kumuondoa bashar all assad, kwanza urusi aliwekeza focus yake Ukraine na akapunguza kumlinda al assad kumbuka tokea 2011 assad ana-survive kwa msaad wa Russia na Iran, nature ikaona haitoshi hamas wakashambulia Israel October 7, baadae Hizbollah aliyekuwa anamlinda assad akawa bize kupigana na Israel, na baadae iran akajoin matokeo yake Al assad hanamlinzi tena, wale waasi wakatonywa Al assad hanaulinzi ikawa raihis kumuondoa. Ila ukiangali scenario kuna ubaya wa vita ya Ukraine na shambulio la October 7 2023 moja ya mlengwa alikuwa ni al assad aondoke madarakani japokuwa hivyo vita vina matokeo mengi zaidi ya kumuondoa bashar ala assad madarakani na kwa kutunza kumbukumbu wale waasi wametumia miaka 14 kumuondoa al assad
- Baada ya kufa Karl max miaka ya 1890's kulianza vuguvugu au movement za underground za kuwezesha communism kushika hatamu., sababu kubwa ni hali ya maisha ilikuwa ngumu sana ulaya. Nchini urusi kuna mtu anaitwa Vladimir Lenin alianza underground movement baadae anapata wasaidizi wake wakina stalin lengo ni ku-implement kile alichokisema Karl marx, stalin alikuwa ni jasiri na hakuna jambo lilikuwa linamshinda tabia hii yake ilikuja kuonekana zaidi alipokuwa Rais wa urusi- stalin alikuwa anafungwa na kuachiwa sababu alikuwa mtata sana baadae nature ikafanya yake vita vya kwanza vya dunia vikazuka lengo ni kuundoa utawala wa urusi uliokuwepo kipindi kile na kuinstall wakina Vladimir Lenin lakin ilibidi utawala uliopo upigane vita ambayo ni ubaya ili uweze kuwa dhaifu na kweli mwak 1917 mwanzon yakafanyika mapunduzi ila baadae October 1917 Vladimir Lenin na stalini na wenzake wachakuchua nchi kwa mapunduzi ila wamewezaje ni baada ya ubaya wa vita vya kwanza vya dunia kutokea ndo mabadiliko yakatokea urusi
- Njoo kwenye taifa la Israel- inchi ya Israel inaanzishwa kwa vurugu kubwa sana nahisi Korea kusini na Israel ni nchi zilzoanishwa kwa vita na uchungu mkubwa sana. Turudi kwenye mada miaka ya 1800's waisrael walianza kuchukiwa sana ulaya miaka hiyo, zikaanza movement za kutafuta eneo litakalokuwa taifa la Israel yalipendekezwa maeneo mengi ikiwemo uganda ila baadae walisema wanataka eneo la asili ambalo ni palestine- ila mwanzon hawakufanikiwa ila harakati bado zilikuwepo- nchini austria anazaliwa kijana mtukutu anaitwa Hitler ambaye baba yake alikuwa anamchapa sana na kumpiga ila alikuwa hasikii ni yule mtoto unaweza mpiga mpaka kumchoma moto kesho anarudia kitu kile kile ulichomchapia jana na kumchoma moto. Hitler alikua jeuri, mtukutu na mkorofi na alijua njia za kufika kwenye madaraka alipenya penya kuja kushtuka ni chancelor wa ujeruman ilihali yeye ni mzaliwa wa Austria twende vinakuja vita vya pili vya dunia anakuja kuuwa waisrael million 6 lakin nyuma yake naamini hata Hitler alikuwa hajui alikuwa anaanda kuundwa kwa taifa la israel ambalo mwanzoni lilifeli, vita vya pili vya dunia vinaisha uingereza kwa haraka sana akaenda akigawa levant taifa mojawapo lililozaliwa ni Israel kumbuka mwanzoni ni ubaya wa wayahudi kuchukiwa ulaya nzima, ubaya wa pili ulianza kupitia vita vya pili vya dunia, na ubaya wa tatu mauaji ya wayahudi milion 6 ukisoma huo mtiririko unaona mabadiliko yalianzia kwenye ubaya.
Yako mengi sana lakin hayo ni baadhi mambo ya msingi ya msingi ya kufahamu
Mambo muhimu ya kuzingatia
- Mabadiliko yamefungwa kwenye ubaya
- Sio kila ubaya unamabadiliko ndani yake
- Huitaji kutumia nguvu kubwa kupush ubaya wa mabadiliko unakujaga mwenyewe na mnabaki mnashangaa tumefikaje hapa kwenye huu ubaya
Kama reform zikija kwa njia hizi wanazotumia sasa kabla ya uchaguzi basi ntakuwa nimejifunza jambo jipya ambalo nilikuwa silijui huko nyuma sababu napenda kujifunza mambo mapya
Nikama mimi nilivyoanza harakati zangu za kuwa Rais wa Tanzania ni ngumu na chungu sana haitakuwa rahisi hata kidogo nimefahamu haya kabla hata ya kutokuanza hii movement mimi sahivi nina miaka 33 sitashangaa hata nikifanisha lengo la kuwa rais wa Tanzania nikiwa na miaka 50 au hata 60 sitashangaa
Mfano sisi wakristo tunajua Mungu alimtokea Musa nakumtuma nenda kawatoe wana-waisrael ila musa alifanya attempt tisa na alifeli zote ya kumi ndo akafanikiwa
Unasema nini ilibidi Mandela akae miaka 27 jela ndo makaburu waachie madaraka haikuwa kazi rahisi
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...