Mabadiliko yamefungwa kwenye ubaya

Mabadiliko yamefungwa kwenye ubaya

Kabla sijaja public na kudeclare nia yangu ya kutaka kuwa Rais wa Tanzania ilinibidi kwa jasho na damu nijufunze uongozi ni nini??? unfortunately elimu haifundishi masomo ya uongozi kwa hiyo ilinibidi binafsi nijufunze kwa nguvu zote uongozi ni nini
 
Na moja ya mambo niliyojifunza ni hili "mabadiliko yamefungwa kwemye ubaya"
Kwanini iko hivi
  1. Walioko kwenye mfumo wananufaika nao hawawezi kukuachia kirahisi
  2. Hata wakikuachia watahakikisha unawalinda haya tunayaita mabadiliko danganya toto
  3. Ndo maana mabadiliko ya kweli yamefungwa kwenye ubaya na ni magumu sana
 
"Kama reform zikija kwa njia hizi wanazotumia sasa kabla ya uchaguzi basi ntakuwa nimejifunza jambo jipya ambalo nilikuwa silijui huko nyuma sababu napenda kujifunza mambo mapya". Na mm ntakua nmejifunza jambo jipya pia. Leo kweny hii hoja nakubaliana na ww.
 
Na moja ya mambo niliyojifunza ni hili "mabadiliko yamefungwa kwemye ubaya"
Kwanini iko hivi
  1. Walioko kwenye mfumo wananufaika nao hawawezi kukuachia kirahisi
  2. Hata wakikuachia watahakikisha unawalinda haya tunayaita mabadiliko danganya toto
  3. Ndo maana mabadiliko ya kweli yamefungwa kwenye ubaya na ni magumu sana
kwahyo wwe unaamini kwenye ubepari?
 
Back
Top Bottom