Mabadiliko ya Wizara yanalenga kuilinda DP World?

Mabadiliko ya Wizara yanalenga kuilinda DP World?

Kuongezwa kwa Wizara ya Mipango na Uwekezaji na hapo hapo Wizara hiyo mpya kuhamishiwa Ikulu, tena kukabidhiwa kwa Kitilla Mkumbo ambaye Juhudi zake za kupigania DP WORLD bungeni, tena kwa hoja dhaifu mno! zinajulikana, kumetufanya sisi wengine tuwaze nje ya box na kuona kwamba Kuhamishiwa ikulu kwa Wizara hii mpya inayohusu uwekezaji ni Ulinzi kwa Walionunua Bandari.

Niko Tayari kusahihishwa.

Pia soma: Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri
Maza anaipiga mnada Tanganyika hana hasara
 
Tuna kazi moja tu. Ni kumpiga Idd Amin....by Nyerere
 
Nionavyo yameelekezwa kuhimili wimbi la uwekezaji linaloipiga Tanzania kwa sasa na toka Royal Tour ifanyike.

Mwaka 2021/2022 uwekezaji ukaanza kutengezwa kwa kurudisha amani na matumaini miyoyoni mwa Watanzania wafanya biashara na wale waliokimbia nje ya nchi. Kurudisha mali za watu ziliporwa kimizengwe mizengwee, kuwatoa vifungoni na kuwarudisha wanasiasa walioikimbia Tanzania kwa kuogope maisha yao au vifungo.

Jitihada kubwa zikafanyika kurudisha hali ya matumaini na kukaanz kufanyika juhudi za kuwavutia wageni waje. matokeo yakaanza kuonekana. Wimbi kubwa la uwekezaji limevunja rikodi zote mwaka jana na mwaka huu wa fedha.

Projections na maombi yanaonesha mwaka huu unaokuja ndiyo itajuwa siyo mafuriko ya uwekezaji bali ni Tsumani.

Inabidi serikali ijipamge na gharika hilo kila upande ili ufanisi upongezeke.

Na nnavyoona kutakuwa na mabadiliko makubw katika namna na sera za uchumi zinavyoendeshwa. Kwanza nilidhani Mwigulu atatemwa, lakini mama anaona mbali zaidi, kaona mule anamopwaya paondolewe wizarani. Ndiyo mnaona haya mabadiliko. Haya ya awali tu, mama atabadili sana mtazamo wetu wa kijinga mawizarani huko.

Tutegemee mabadiliko makubwa sana jeshi la polisi na uhamiaji. Huko kuna mapungufu makubwa ya uendeshaji wa kisasa. Huko watu bado wanaendesha kijinga kama walivyozoemshwa na mwendazake kujimwambafai.

Hapana, lazima nchi iwe rafiki katika majeshi ya polisi. Yasitutie dosaro. Mwekezaji anakuja anategemea mali zake zilindwe, maisha yake yalindwe na siyo kuombana pesa za kupigia viatu rangi.

Mabadiliko yanahitajika hata kwenye fikra za Watanzania, bado wengi wana laana ya ubaguzi wa kijinga.
Mabadiliko hayo ya kifikra yaanze na wewe, maana una ubaguzi dhidi ya wakristo.
 
Kuongezwa kwa Wizara ya Mipango na Uwekezaji na hapo hapo Wizara hiyo mpya kuhamishiwa Ikulu, tena kukabidhiwa kwa Kitilla Mkumbo ambaye Juhudi zake za kupigania DP WORLD bungeni, tena kwa hoja dhaifu mno! zinajulikana, kumetufanya sisi wengine tuwaze nje ya box na kuona kwamba Kuhamishiwa ikulu kwa Wizara hii mpya inayohusu uwekezaji ni Ulinzi kwa Walionunua Bandari.

Niko Tayari kusahihishwa.

Pia soma: Rais Samia aunda Wizara Mpya na kufanya Mabadiliko ya kimuundo baadhi ya Wizara. Amteua Profesa Kitila Mkumbo kuwa Waziri
Kabisa huo ni mpango wa kuhakikisha kuna mtanganyika wa kulaumu kwenye uuzwaji wa bandari zetu.
 
Mtanikumbuka 😂😂😂
Ndiyo, lazima na yeye tutamkumbuka.
Lakini tutamkumbuka kwa mabaya na uovu kama ambavyo watu wengi wa Ulaya wanavyomkumbuka Adolf Hitler,na Benito Mussolini na kama ambavyo Wamarekani wanavyomkumbuka Osama bin Laden ktk tukio la September Eleven.
Je, bado una hoja nyingine yoyote kuhusu huyu mtu wako????
 
Konyagi ni mbaya kwa wengine na nzuri sana kwa wengine 😂😂
 
Mabadiliko hayo ya kifikra yaanze na wewe, maana una ubaguzi dhidi ya wakristo.
Ukiona mtu kwenye majadiliano anaanza kubwabwaja na kuhororoja matusi elewa kuwa hoja imemuingia kisawasawa na hana majibu.
Yupo finyu, hawezi kujenga hoja.
 
Hii nchi haina haja hata ya kuwa na Uchaguzi, NEC, Vyama Vya Siasa, Bunge sijui Kamati Za Nini Nini Huko. Ni kupoteza muda na hela zetu walala hoi.

Nchi inawenyewe hii, wananchi wapige kelele, walie na hata kama wakatambike wakiwa uchi ni kazi bure!!! Wenye nchi wakiamua lao, basi ndio washaamua!
Huo ndo ukweli wenyewe
 
Back
Top Bottom