cotyledon
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 2,317
- 1,666
Ila kaweka Sheria ya rasilimali ambaye ilivunywa kwenye mkataba wa DPWTungemkumbuka kama angeweka Sheria Kali na katiba mpya na angetoa Ile Kinga kwa viongozi ila yeye akaongeza kwa spika mama kaongeza kwa tiss ila tutafika pamoja tutakuwa tumechoka