Mabadiliko ya speed ya internet

Paje

JF-Expert Member
Apr 24, 2010
1,185
455
wakuu naona speed ya internet ya airtel imekuwa tishio hapa mjini. inafika hadi 5Mbps. inadownload mb 200 ndani ya dakika 9. kuna mwengine amepata kitu kama hicho au miye tu nina bahati?
angallia attachements hii hapa chini airtel.jpg

na nikitumia dashboard ya mobile partner inaonesha ni 3.9G instead ya HSPA. hii wanamaana inakaribia 4G. kwa wale wanaotumia modem za tigo wanavuka 3.1Mbps? mie natumia modem ya safaricom . speed yake hadi 7.2Mbps lakini mwisho wangu kuona ni 5Mbps.
 
Natumia modem ya airtell, sasa hivi mb 400 natumia kwa siku mbili tu bila kudownload kitu chochote, wakati kabla ya hapo nilikuwa natumia karibu wiki mbili. wizi mtupu sitaki kuwasikia kabisa hawa kenge, na huenda nikauza hii modem yangu.
 
hiyo ni lini mkuu coz jana usiku wa manene kabisa ambapo users ni wachache niltumia airtel coz ni bure na speed yake still was the same as usual only 2.30 Mbps iyo ndo average. Na apa kwangu airtel iko full kabisa
 
wakuu naona speed ya internet ya airtel imekuwa tishio hapa mjini. inafika hadi 5Mbps. inadownload mb 200 ndani ya dakika 9. kuna mwengine amepata kitu kama hicho au miye tu nina bahati?
angallia attachements hii hapa chiniView attachment 41385

na nikitumia dashboard ya mobile partner inaonesha ni 3.9G instead ya HSPA. hii wanamaana inakaribia 4G. kwa wale wanaotumia modem za tigo wanavuka 3.1Mbps? mie natumia modem ya safaricom . speed yake hadi 7.2Mbps lakini mwisho wangu kuona ni 5Mbps.

Shekh wangu unatumia bando gani?
 
na hiyo milugha yenu ya kiteknohama mpaka mmenisteam out, nlitaka kuchangia basi nimeghairi sasa
 
ila kiukweli kuanzia jana, speed ya airtel imeboreshwa kiasi chake tofauti na mwanzoni
 
I don't get it. Unasifia airtel but attachment in Tigo? Am I missing something?

yes dear you are missing something. hiyo tigo ni dashboard tu (software tu) ila line ilokuwemo ni airtel. angalia chini kabisa kushoto utaona imeandikwa HSPA airtel TZ. modem yangu ni safaricom ya kenya, dashboard ya tigo, na simcard au internet yenyewe ni airtel TZ.
sasa nahisi utakua umenielewa
 
airtel haiwezi kufikia hiyo spidi hata kwa tambiko. ila wana kila sababu ya kukulipa

huo wako ni ukaidi wa jogoo sio kuku, au unahitaji ushahidi kamili. mtu ashakuvua nguo kwa nguvu bado unataka ushahidi kuwa ana nia ya kukubaka? nimeshakuwekea mpaka attachments what else you need to believe it? come to my home ili upate ushahidi kamili ujionee kwa macho.
 
hiyo ni lini mkuu coz jana usiku wa manene kabisa ambapo users ni wachache niltumia airtel coz ni bure na speed yake still was the same as usual only 2.30 Mbps iyo ndo average. Na apa kwangu airtel iko full kabisa

karibu kila siku, ninapoingia net mara tu jua linapozama. kabla ya saa 5 usiku. kwani baada ya hapo mie huwa nimeshalala. usiku wa manane haunikuti nimelalal. labda modem yangu ni kiboko ya matatizo(safaricom ya kenya) na modem zenu za ki TZ hazina uwezo huo. he he hee. just a joke
 
Yaani mb 200 ndani ya dk 9., hiyo ni speed ya kobe.

weye upo nchi gani? usije kuwa hupo tz halafu ukafananisha intenet ya ulaya na ya TZ. ndani ya nusu saa unadownload full movie ya 600 MB.
kuna net gani hapa tz yenye kiburi kama hicho?
 
Natumia modem ya airtell, sasa hivi mb 400 natumia kwa siku mbili tu bila kudownload kitu chochote, wakati kabla ya hapo nilikuwa natumia karibu wiki mbili. wizi mtupu sitaki kuwasikia kabisa hawa kenge, na huenda nikauza hii modem yangu.

utaniuzia bei gani? au tubadilishe sema unataka nikupe modem ya mtandao gani hapa TZ. maana karibu modem zote ninazo ila sina ya airtel tu. he heee hee
 
AIRTEL WAJE NA UNLIMITED PACKAGE YA MONTH TUHAME TIGO KABISA WA CHARGE SAME KAMA TIGO TUONE NANI ATABAKI TIGO MIMI AIRTEL SAA SABA SAA SITA MCHAMA DOWNLOAD SPEED MPAKA 300Kbps
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom