Speed ya mtandao wa Smile ni aibu kubwa

pharao

JF-Expert Member
Jan 17, 2017
380
639
Nimekuwa mteja kwa miaka kadhaa katika huu mtandao wa internet wa Smile, ila hadi kufikia sasa naona hali imewawia ngumu ila wanashindwa tu kusema.

Mwanzoni walipokuwa wanaingia kwenye miaka ya 2013 walikuwa na speed nzuri atleast tungeweza kusema kweli wana mtandao wa 4G kipindi kile maana kasi ilikuwa inafika walau 10MBper sec, ila miaka inavyozidi kwenda wanazidi kupunguza speed na mtandao ni wa kusuasua.

Hadi hapa ninapoongea kasi yao ya mtandao wa 4G ni Kb 250 per Sec.

Sijui tukimbilie wapi tupate speed nzuri ya internet aisee.
 
Mpka sasa sijui mtandao upi upo vzr kwenye internet services! Ila nahisi wanaiba, ukijiunga wanadhorotesha ili usipate huduma stahiki
 
Mbona kwangu smile hawajahi niangusha walikuwa wanafika hadi 21
 
Yani mtambo ikiwa mipya inakua na kasi hatari,halotel mitambo mipya naipa miaka 5 tena utakua ovyo ovyo
 
Back
Top Bottom