Jana katika habari ya saa 2 usiku ITV nimeona mmoja kati ya wafanyabiashara wa cement alikalalamika kupanda kwa cement toka 11,000 hadi 15,000. Hii ikiwa inatokana na kiwanda cha dangote kusimama kupisha ukarabati wa kiwanda.
Ni wakati muafaka sasa kuona impact ya uwepo au kutokuwepo kwa dangote kwenye bei za cement. Ili kujua haya naomba kila mwanajukwaa atupe mpya ya cement kutoka eneo alipo
Dar kuna Viwanda 3 ninavyovifahamu, Twiga, Kisarawe na Camel.Dar mbona ni 9500 Tz sh./=
We jaa vp.. Tunataka bei ambayo hata mtanzania wa kawaida ataimudu.Watanzania tunakuwa masikini kwa fikra zetu za kuwaza kushusha vitu bei chini ili tumudu gharama zake kwa umasikini wetu.
Mtwara kuna viwanda viwili pia, yaani Mtwara Cement(kiko eneo la Mikindani, kinamilikiwa na Wachina) pamoja na Dangote. Vyote viko Barabara ya kuja Dar es Salaam. Lakini jana Mtwara Cement iliuzwa kwa Tdh 15000 kwa mujibu wa mahojiano ya ITV na wananchi wa MtwaraDar kuna Viwanda 3 ninavyovifahamu, Twiga, Kisarawe na Camel.
Duh, balaa.Mtwara kuna viwanda viwili pia, yaani Mtwara Cement(kiko eneo la Mikindani, kinamilikiwa na Wachina) pamoja na Dangote. Vyote viko Barabara ya kuja Dar es Salaam. Lakini jana Mtwara Cement iliuzwa kwa Tdh 15000 kwa mujibu wa mahojiano ya ITV na wananchi wa Mtwara
We jaa vp.. Tunataka bei ambayo hata mtanzania wa kawaida ataimudu.
kauli mbiu ya Tanzania ya viwanda hai reflect yanayotendeka, kod juu na zimekua nyingii had wawekezaji washindwa kumudu wengine wanaamua kuwekeza Kenya yan shida tupuuu...