Jana Raisi wetu aliahidi kuanzia tarehe mosi June 2022 watanzania watapata unafuu wa bei za mafuta, kwa kiasi gani hilo liko mikononi mwa waziri mwenye dhamana.
"Nimeamua wananchi waanze kupata nafuu ya bei ya mafuta kuanzia Juni 1, 2022, nimeelekeza serikali tujibane na tujinyime ili kupata fedha kutoka katika matumizi ya kawaida ya serikali ili ziende kutoa nafuu katika bei za mafuta,"-@SuluhuSamia
Raisi ange jikuta kupunguza bei ya vitu ambavyo ana uwezo navyo kwa kutumia economic policies and remedies, sio political solutions suala la kupanda kwa mafuta liko globally na la kiuchumi zaidi, kama EU US wazee wa kuandamana wametulia kwanza kusikilizie mwelekeo wa upepo kwanza, nasi Ldc tunabudi kutulia kwanza kukurupuka kwa kupata political fame sio solution.
Kulazimisha kupunguza bei za mafuta inaenda kuibua kero zingine za kiuchumi mpya hata kuliko ya mafuta, mwenyewe kakiri kipindi kile alivyo ondoa tozo moja serikali yake ili poteza zaidi ya Tsh 102bn imagine kama hizo hela zilikua zimepangwa sector ya afya wangapi waliteseka kwa ajili ya hilo.
"Economic problems requires economic solutions" not political na economic solutions buys time are not immediate, Raisi asubiri tuone the end of economic forces zutulie kwanza hapo economic policies zitafanya kazi wana uchumu wanasema political intervention just worsen economic problems.
Raisi apunguze bidhaa za ujezi kama cement nondo mafuta ya kula baati nk, subsidies kwenye private hosipital na shule na pia wa tumushi wa ummah awapadishe mishahara kwa 10 -15% na zisitozwe paye kwa kipindi hiki cha mfumko wa bei hivyo ana uwezo navyo viko domestically produced en regulated, hapo automatically atakua amepunguza ukali wa maisha 'disposable income' ya individual intakua imepanda, unafuu wa maisha utapatikana kwa raia, kuliko kuondoa sh 200 kwenye bei ya mafuta kwa kuondoa tozo moja tena uibue kero zingine lukuki, hiyo shilling 200-400 utakao punguza impact yake ni ndogo kuliko madhara itakao leta.
"I don't know the key to success, but the key to failure is trying to please every one.
“Sometimes it is better to lose and do the right thing than to win and do the wrong thing.”