Tetesi: Mabadiliko TBL

Inasemekana kuanzia mwezi wa tano yaani may wanataka wabaki na beers za chupa ndogo kutokana na hali ya uchumi,no more chupa kubwaz.
Adiiiioooos amigoooo.

Hatupendi bia za kwenye machupa makubwa. Hazina soko. Chupa ndogo ndiyo mpango wa mjini. Kama ni kweli nawapongeza sana kwa kutujali sisi wanywaji wa chupa ndogo.
 
waendee taratibu.....hawa "jamaa" hawakawii kuvipiga stop ati vipo portable sana Na vinaharibu vijana!:(:(
 
Uchumi wa Tanzania unakuwa kwa kasi kubwa kuliko nchi yoyote ile ya Africa, lakini wanasahau kauli zao za kukua kwa uchumi na reality ya kitaa haviendani kabisa ni kama usiku na mchana.
Wafanyabiashara wanabadili business model zao kuendana na matakwa ya soko! Hata wakati wa recession au economic recovery/ peak economy haya mambo ufanyika. Serikali lazima iendelee kufanya kazi yake tu.
 
Kama matakwa ya soko yanaathiriwa na maamuzi ya Serikali basi Serikali hiyo inaharibu na inabidi ijiulize KULIKONI!?

Wafanyabiashara wanabadili business model zao kuendana na matakwa ya soko! Hata wakati wa recession au economic recovery/ peak economy haya mambo ufanyika. Serikali lazima iendelee kufanya kazi yake tu.
 
Kama matakwa ya soko yanaathiriwa na maamuzi ya Serikali basi Serikali hiyo inaharibu na inabidi ijiulize KULIKONI!?
Haiharibu bro. Inatekeleza tu majukumu yake. Serikali inabana matumizi na kuchunga hela zake zisiibiwe.
 
Kama matakwa ya soko yanaathiriwa na maamuzi ya Serikali basi Serikali hiyo inaharibu na inabidi ijiulize KULIKONI!?
Mkuu, ni kwamba hapo awali (baadhi ya awamu zilizopita za uongozi wa nchi yetu) tulikuwa na fake economic recovery, fake economic growth, na fake economic boom. Hili lili kuwa bomu la hatari sana kwani lingelipuka, tungeingia kwenye recession ya hatari kiasi cha kuingia kwenye default. Kibaya zaidi kwa bomu hilo, tungeweza kuwa koloni halali la wale ambao wangetu'bail out'. Kwa rais mzalendo anayependa watanzania wenzake hasingweza kukubali bomu ili liendelee kuongezewa milipuko. Kwa vyovyote vile lazima rais kwa kutumia washauri wake wazalendo kama yeye amelazimika kulitegua na kuanza kuharibu uwezekano wa kupatika malighafi ya milipuko. Na ameishalitegua kinachofanyika sasa ni kusaka malighafi za milipuko ilipo na kuziharibu.

TBL ni kampuni kubwa najua kabisa kuwa walikuwa wanajua nchi ilikuwa kwenye fake economic growth hivyo waliweka mpango wa kukabiliana na hili kama hii fake economic growth ingezuiwa. Kwa hiyo sishangai wanachokifanya.
 
Piga hesabu utagundua per litre chupa ndogo ni ghali kuliko chupa kubwa. TBL wajanja, Mbongo ukimuwekea (mfano) nusu lita kwa tzs 800 na lita moja tzs 1400 atanunua nusu lita akiamini ni bei nafuu.
Hapana Boss chupa ndogo ni 375 Ml na chupa kubwa ni 500 Ml.. Chupa ndogo 3 ni 1125 Ml ikiuzwa kwa 4500/- na chupa kubwa 2 ni 1000 Ml zikiuzwa kwa 5000/-... Sasa hapo angalia mwenyewe rahisi ni ipi..
 
Tulikwisha sema huko nyuma watu wasitegemee sana ununuaji wa pombe kwa ajili ya kuendesha uchumi au kama sehemu ya ajira ipo siku watu wataamua kuokoka watamuuzia nani sasa..
Hapo tu umenikuna, sababu tuna rasilimali nyingi mno za kuwagonga wawekezaji na wanunuzi wa hizo rasilimali, najuwa tulifanya makosa huko nyuma, bado tuna nafasi ya kuiandika hiyo mikataba au kurekebisha vipengele, tatizo tena larudi kwa wasomi wetu (Chenge), na jana au juzi katoka kulalamika ujenzi wa barabara Bariadi na nchini kote, eti tufunguke kwenye barabara! Swali laja yeye kama mwanasheria mbona hajawa mfano mzuri?! Na kuziita zile £500K vijisenti! Basi aziridushe na kujenga barabara jimboni kwake?!
Uchumi nchini huwezi kutegemea kuuendesha kwa vikodi vya bia, sigara, big G, karanga, machinga n.k. Tutumie hizo Gold, Platinum, Diamonds, Uranium, Tanzanite, Helium, Gas, Copper, Silver mbona naona list ndefu?! Kweli na hivi vyote bado maskini?! Vipi kuhusu Utalii?! Tungewapiga goli sana hawa jamaa, tuige hata ya Disneyland, sehemu zote kule iwe dollar au £ tu kwa wageni, watalipa tu mkuu, bado KILIMO, aise nimechoka kutiririsha malighafi, naona kama tunatania asie...
 
Mdau mbege ndo usisime.. kitochi kutoka Mia nne or Mia tano hadi buku.. chubuku buku Mia tano.. kibosho Ubwe hiyo
Yaani ni noma sana aseee kitu kinafukuzana na bia?? Sasa ukiitoa Umbwe ikifika sehemu kama Arusha usithubutu hata kuulizia bei bablai.
 
Back
Top Bottom