Mabadiliko Jeshi la Polisi: Kamanda Ahmed Msangi awa Msemaji wa Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amemteua aliyekuwa Msemaji wa Polisi, Barnabas Mwakalukwa kuwa Mnadhimu wa Polisi mkoa wa Pwani

Nafasi yake inachukuliwa na aliyekuwa Mkuu wa Kitengo cha Makosa dhidi ya Binadamu Makao Makuu ya upelelezi Dar, Ahmed Msangi

Msangi anachukua nafasi hiyo ikiwa ni takribani miezi mitatu tangu ahamie Makao Makuu kutoka kuwa Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza
Kuna kitu hua nakiona japo si rasmi. Ukiiongoza police ya Mwz lazima upande ngazi ukianza na Sirro mwenyewe.
 
Hujanielewa ama?

PROMOTION pekee kwa MSANGI iliyobaki ni kua CP basi...hana cheo kingine cha kupanda zaidi ya kua Full Commissioner.

Na kwa taarifa yako toka Magufuli aingie madarakani ...ni jamaa mmoja tu yule wa Zanzibar ndo alipandishwa kua full CP akaenda kua CP wa Polisi Zanzibar...

Maafisa wa Polisi hawajapanda vyeo toka Magufuli aingie madarakani...

Ndo mana unaona hata Dar kanda maalum Mkuu wake ni SACP badala ya Full CP kama ilivyokua kwa CP Sirro na CP Kova au hata DCP kama alivyokua Mkondya.

Ndo mana unaona Traffic Tanzania mkuu wake ni SACP badala ya DCP kama alivyokuaga Mpinga

Kama hukupanda wakati wa Kikwete imekula kwako! Hakuna Bajeti hiyo
Kova alikuwa ZPC dar huku akiwa ACP alipanda akiwa ZPC hata tibaigana alipanda akiwa RPC dar, unajua ma CP wameongezeka wakati huu wa karibuni hapa (kuanzia 2008 hivi)
 
Hujanielewa ama?

PROMOTION pekee kwa MSANGI iliyobaki ni kua CP basi...hana cheo kingine cha kupanda zaidi ya kua Full Commissioner.

Na kwa taarifa yako toka Magufuli aingie madarakani ...ni jamaa mmoja tu yule wa Zanzibar ndo alipandishwa kua full CP akaenda kua CP wa Polisi Zanzibar...

Maafisa wa Polisi hawajapanda vyeo toka Magufuli aingie madarakani...

Ndo mana unaona hata Dar kanda maalum Mkuu wake ni SACP badala ya Full CP kama ilivyokua kwa CP Sirro na CP Kova au hata DCP kama alivyokua Mkondya.

Ndo mana unaona Traffic Tanzania mkuu wake ni SACP badala ya DCP kama alivyokuaga Mpinga

Kama hukupanda wakati wa Kikwete imekula kwako! Hakuna Bajeti hiyo
Wapo waliopanda wakati huu, kuna mkumbo, na hata huyu msangi wakati akienda mbeya alikuwa SACP kwahiyo naye amepanda wakati wa awamu hii
 
Kweli Mkuu yani DCP kuamfanya kazi za SSP...sio kawaida sema itakua Sirro kaona nafasi imepwaya sana hiyo akaamua Msangi aokoe jahazi
Advera alipewa mamlaka kubwa, lakini hata hivyo DCP msangi anafit kwenye role nyingi, hii ikiwa moja wapo
 
hivi kuwa rpc na na msemaji wa Taifa kipi kipo juu, pia polisi kinachoangaliwa ni rank sio majukumu uliyopewa, kupigiwa salute kunatokana na rank yako not title
RPC ni dili kaka,
Msemaji wa polisi kazi yako ni kusoma magazeti na kutoa matamko tu.
RPC kwa mwaka unaweza jenga ghorofa nje ya mshahara wako
 
Uzuri wote hao wakistaafu wanakula 25% wanatulizana, baada ya miaka 2 hawana kitu, hela imekata wanaanza kupauka.
Duuh sijui unewaza Nini kweli nimeamini watz nyie ni shidaaaaaa
 
PR ni taaluma ya mahusiano ya umma na inasomewa. Lini mtu anakuwa msemaji wa taasisi bila kuwa na elimu ya mawasiliano kwa umma ?
Unahisi kuna shule ya kusomea masomo ya kuwa askari kwani huyo alikosoma chuo labda alosoma taaluma unayosema kabla ya kuajilowa au kujiendeleza ww vp unashindwa jiuloza maswari madogo polisi,jwtz zinaajili watu wenyefani mbalimbali mpaka kidato cha 4 hukujiuliza labda alisomea ulichotaja.
 
Alikuwa na cheo cha Senior Superitendant of Police (SSP) na baada ya kupandishwa cheo kuwa Assistant Commissioner of Police (ACP) alihamishiwa idara nyingine!
Mkuu wewe ndio umenifumbua macho, nasoma tu DCP, SSP, CP lakini sielewi. If you don't mind hem taja vyeo vya hawa jamaa kwa mlolongo wake tafadhali.
 
Back
Top Bottom