Habarindiyohiyo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2008
- 263
- 16
Mabadiliko CHADEMA Makao Makuu: Mwikabe aula, Mnyika atoswa
Mabadiliko yafanywa CHADEMA Makao makuu, baada ya kujitoa CCM Mwita Mwikabwe aula kwa kuteuliwa mkurugenzi wa sera ya utafiti. Katika utuezi huo, John Mnyika ametoswa kuwa mkurugenzi wa Vijana na nafasi yake imechukuliwa na Halima Mdee(Mbunge wa Viti Maalum). Wengine waliokumbwa na mabadiliko hayo ni Regia Mtema, aliyetolewa uafisa vijana na nafasi yake kuchukuliwa na Ali Chitanda. Regia ameteuliwa kuwa Afisa wa Mafunzo nafasi ambayo ilishikiliwa na Dady Igogo ambaye ameteuliwa kuwa afisa Sheria. Aliyekuwa afisa sera na utafiti Danda Juju yeye amepelekwa Bunge na Halmashauri. Mabadiliko hayo hayahusishi wakurugenzi wengine kama Benson Kigaila, Erasto tumbo na wengine ambao wote wanaendelea na nafasi zao kama kawaida kama inavyoonyeshwa kwenye tovuti ya chama hicho Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Uteuzi huo umeaanza mara moja
............ndiyohiyo
Mkuu,
Sijasoma katiba ya CHADEMA, hivyo ningetaka kuuliza ni nani kafanya hayo mabadiliko? Je ni Mwenyekiti wa CHADEMA au ni kikao cha chama?
.
Yale yale ya CCM kuwazawadia akina TambweMabadiliko CHADEMA Makao Makuu: Mwikabe aula, Mnyika atoswa
Mabadiliko yafanywa CHADEMA Makao makuu, baada ya kujitoa CCM Mwita Mwikabwe aula kwa kuteuliwa mkurugenzi wa sera ya utafiti. Katika utuezi huo, John Mnyika ametoswa kuwa mkurugenzi wa Vijana na nafasi yake imechukuliwa na Halima Mdee(Mbunge wa Viti Maalum). Wengine waliokumbwa na mabadiliko hayo ni Regia Mtema, aliyetolewa uafisa vijana na nafasi yake kuchukuliwa na Ali Chitanda. Regia ameteuliwa kuwa Afisa wa Mafunzo nafasi ambayo ilishikiliwa na Dady Igogo ambaye ameteuliwa kuwa afisa Sheria. Aliyekuwa afisa sera na utafiti Danda Juju yeye amepelekwa Bunge na Halmashauri. Mabadiliko hayo hayahusishi wakurugenzi wengine kama Benson Kigaila, Erasto tumbo na wengine ambao wote wanaendelea na nafasi zao kama kawaida kama inavyoonyeshwa kwenye tovuti ya chama hicho Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Uteuzi huo umeaanza mara moja
............ndiyohiyo
Hivi hao CHADEMA wanauhakika gani kama huyo Mwikabe sio mamluki wa sisiem?Yale yale ya CCM kuwazawadia akina Tambwe
Inaelekea Mnyika amechuka study leave kama alivyowahi kudokeza hapo nyuma.
Yale yale ya CCM kuwazawadia akina Tambwe
Chadema boresheni chama kwa ushindani makini ila chungeni mamluki.Nadhani mabadiliko hayo yatakuwa na tija kwa mustakabali wa chama kinachotaka kuongoza dola.Mamluki ni sumu mkiruhusu wapenyeze Chadema.
Inawezekana ni study leave ama ameomba awe na muda zaidi katika kujiandaa kuchukua jimbo la Ubungo ambalo CCM wanataka kumsimamisha Nape Nnauye kupambana naye!!
Hayo ya study leave na kujiandaa uchaguzi wa jimbo la Ubungo umesema wewe. Huyo hawezi kushinda hata uenyekiti wa kijiji nini ubunge. CHADEMA wangefanya vizuri zaidi kama wangemteua Mwita kuwa mkurugenzi wa vijana- kwa kuwa amewahi kuongoza vijana wa DARUSO na UVCCM, na pia anatoka kabila la wapambanaji wakina Chacha Wangwe. Halima Mdee angepelekwa kurugenzi wa wanawake.
.......ndiyohiyo
Mabadiliko CHADEMA Makao Makuu: Mwikabe aula, Mnyika atoswa
Mabadiliko yafanywa CHADEMA Makao makuu, baada ya kujitoa CCM Mwita Mwikabwe aula kwa kuteuliwa mkurugenzi wa sera ya utafiti . Katika utuezi huo, John Mnyika ametoswa kuwa mkurugenzi wa Vijana na nafasi yake imechukuliwa na Halima Mdee(Mbunge wa Viti Maalum). Wengine waliokumbwa na mabadiliko hayo ni Regia Mtema, aliyetolewa uafisa vijana na nafasi yake kuchukuliwa na Ali Chitanda. Regia ameteuliwa kuwa Afisa wa Mafunzo nafasi ambayo ilishikiliwa na Dady Igogo ambaye ameteuliwa kuwa afisa Sheria. Aliyekuwa afisa sera na utafiti Danda Juju yeye amepelekwa Bunge na Halmashauri. Mabadiliko hayo hayahusishi wakurugenzi wengine kama Benson Kigaila, Erasto tumbo na wengine ambao wote wanaendelea na nafasi zao kama kawaida kama inavyoonyeshwa kwenye tovuti ya chama hicho Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Uteuzi huo umeaanza mara moja
............ndiyohiyo