b191
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 742
- 1,031
Habari wana-JF
Katika u-bachela nimekumbuka mambo ambayo nilikuwa naona uvivu sana kuyafanya kama vile;
1. Uvivu wa kufua Shuka, yaani shuka sifui au kubadilisha hadi siku nina ahadi na kamanzi au baada ya kufanya dyu.. dyu... ndo natoa shuka kwa ajili ya kufua.
2. Kufua Soksi, huu ni mtihani mkubwa pia. Maana unakuta hadi zinatoa harufu Kali. Kuna wakati nilikuwa navulia viatu nje na kunawa miguu ili kuondoka harufu ndani.
Kama wewe ni bachela au ulishawahi kupitia ubachela ongezea mambo ambayo ulikuwa unaona uvivu kuyafanya.