Dah hawa wadada wanatuweka sana katika majaribu sisi walevi
wamekufanyia nini mpaka wamekuweka majaribuni.
Acha kusingizia watu.
Ukijichunga na kujiheshimu mwenyewe hutaweza kujiingiza katika majaribu yoyote yale.
Hivyo, kabla hujaanza kunyoosha vidole vya lawama kwa wengine, jiangalie wewe mwenyewe kwanza.
Nyani Ngabu anajifanya upright, atajiangaliaje mwenyewe sasa, wadada wamevaa kimtego macho hayana pazia.
Labda ajiheshimu, lkn kiukweli barmaids noma sana.