Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,720
- 215,792
Habari za J2 wapendwa
Wengi mnashangaa story nyingi ni za mashost, basi leo nimeleta story ya Sky Éclat. Sky aliongeza uzito kidogo kutokana na mihangaiko ya maisha alipunguza muda wa jogging asubuhi, pia ile dhana ya kunywa glass ya mvinyo na chakula ilipelekea siku kukiwa na msongo wa mawazo na uchovu wa kazi anajikuta amenywa 3/4 ya chupa ya mvinyo.
Mwaka 2017 maamuzi Sky aliyoanza nayo ni:
1. Kuacha nywa mvinyo na pombe kabisa.
2 Kuacha kunywa fizzy drinks zote (soda zote)
3 Kuacha cake na biscuit kama snack badala yake ni kusnack na matunda.
4. Kutumia kijiko kimoja cha sukari katika chai/kahawa
5. Maji kuwa ndiyo kinwaji kikubwa.
6. Jogging ya one hour angalau mara moja kwa wiki.
Manakaribishwa kuweka maamio ya mwaka 2017.