Maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA chini ya mwenyekiti Mbowe kesho lazima yatakuwa haya

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
644
1,482
Kwa sisi tunaoijua CHADEMA ya sasa na aina ya viongozi wake hasa washauri wa Mwenyekiti na Kamati Kuu yake, na kwa kuzingatia maudhui ya taarifa ya Makene naweza kutabari maazimio ya Kamati Kuu ya kesho kama ifuatavyo:-

CHADEMA itajitoa kwenye uchaguzi huu wa marudio unaokuja.

Mbowe na vijana wake washakubaliana hilo ili kukwepa uwajibikaji kwa matokeo ya Buyungu. Na kwa Kamati Kuu hii hakuna wa kupinga wala wa kumwajibisha ni kulindana mwanzo mwisho. Makene ameanza kutuandaa kisaikolojia kwenye taarifa yake. Isome kwa makini utaona.

Sababu kwa Wanahabari itakuwa

Zile zile za uminywaji wa demokrasia na matumizi ya nguvu za dola.

Ila Sababu halisi na za kweli

1. Hakuna fedha. Chama hakina fedha za kuunganisha Chaguzi mbili za marudio tena kwa majimbo manne na kata zaidi ya 80. Hii ni kutokana na matumizi mabaya ya ruzuku.

2. Chama kimeshindwa kupata wagombea wazuri, imara na wenye nguvu ( Strong Candidates) watakaoweza kushindana. Mfano angali mgombea wa Buyungu wa Chadema na wa CCM. Huko ukonga kapatikana binti mmoja, Korogwe huenda asipatikane kabisa, Monduli sijasikia ila Fred Lowassa nasikia kakataa.

Chadema ya sasa chini Mbowe imepoteza mvuto kwa watu wenye uelewa na kamwe haiwezi kupata watu strong tena. After all watu strong walimwamini Dr Slaa sio Mbowe.

Wakati ni sasa wa viongozi wa chama, Wabunge na Wanachama kufanya mabadiliko ya uongozi. Tunahitaji fikra mpya, mbinu mpya na utendaji mpya unaoendana na nyakati ndani ya Chama. TUUNGANE kwa manufaa ya Taifa na Upinzani nchini.

Ramli ruksa kijana.
 
Siasa ni kama Kubet ukianza kuzifuatilia kila siku utakuwa unaendelea kujua ligi za mataifa karibu yote ila haiwezi kukufanya ukawa bora.

Chadema si Waungane tu na CCM wawe chama kimoja ili wapambane na CUF na NCCR.
Mkuu, hii ni zaidi ya utani. CHADEMA waungane na CCM!!!
 
Asante mpiga ramli kwa pre info.
 
Ukiona mtu amezoea kubet jua huko nyuma kaliwa sana
 
Great thinker wa aina yako ni hatari kwa hatma ya nchi hii. Najua umetumwa waambie waliokutuma kuwa hii kazi huiwezi/imekushinda. Wakubadilishie kazi. Witch hunt!
 
Kwa sisi tunaoijua CHADEMA ya sasa na aina ya viongozi wake hasa washauri wa Mwenyekiti na Kamati Kuu yake, na kwa kuzingatia maudhui ya taarifa ya Makene naweza kutabari maazimio ya Kamati Kuu ya kesho kama ifuatavyo:-

CHADEMA itajitoa kwenye uchaguzi huu wa marudio unaokuja.

Mbowe na vijana wake washakubaliana hilo ili kukwepa uwajibikaji kwa matokeo ya Buyungu. Na kwa Kamati Kuu hii hakuna wa kupinga wala wa kumwajibisha ni kulindana mwanzo mwisho. Makene ameanza kutuandaa kisaikolojia kwenye taarifa yake. Isome kwa makini utaona.

Sababu kwa Wanahabari itakuwa

Zile zile za uminywaji wa demokrasia na matumizi ya nguvu za dola.

Ila Sababu halisi na za kweli

1. Hakuna fedha. Chama hakina fedha za kuunganisha Chaguzi mbili za marudio tena kwa majimbo manne na kata zaidi ya 80. Hii ni kutokana na matumizi mabaya ya ruzuku.

2. Chama kimeshindwa kupata wagombea wazuri, imara na wenye nguvu ( Strong Candidates) watakaoweza kushindana. Mfano angali mgombea wa Buyungu wa Chadema na wa CCM. Huko ukonga kapatikana binti mmoja, Korogwe huenda asipatikane kabisa, Monduli sijasikia ila Fred Lowassa nasikia kakataa.

Chadema ya sasa chini Mbowe imepoteza mvuto kwa watu wenye uelewa na kamwe haiwezi kupata watu strong tena. After all watu strong walimwamini Dr Slaa sio Mbowe.

Wakati ni sasa wa viongozi wa chama, Wabunge na Wanachama kufanya mabadiliko ya uongozi. Tunahitaji fikra mpya, mbinu mpya na utendaji mpya unaoendana na nyakati ndani ya Chama. TUUNGANE kwa manufaa ya Taifa na Upinzani nchini.

Benson Mramba
Jamaa una majungu wewe kila siku mboweeee,chademaaaaa unawapenda nini?
 
Hivi wewe Benson Mramba, unatumia akili yako kufikiri kweli??

Hivi hujawaona wale waliokatwa na mapanga na Green Guard yenu??

Hivi hivyo vijisenti mnavyolipwa hapo Lumumba, ndivyo vinavyowafanya muwe wehu kabisa??
 
Kwa sisi tunaoijua CHADEMA ya sasa na aina ya viongozi wake hasa washauri wa Mwenyekiti na Kamati Kuu yake, na kwa kuzingatia maudhui ya taarifa ya Makene naweza kutabari maazimio ya Kamati Kuu ya kesho kama ifuatavyo:-

CHADEMA itajitoa kwenye uchaguzi huu wa marudio unaokuja.

Mbowe na vijana wake washakubaliana hilo ili kukwepa uwajibikaji kwa matokeo ya Buyungu. Na kwa Kamati Kuu hii hakuna wa kupinga wala wa kumwajibisha ni kulindana mwanzo mwisho. Makene ameanza kutuandaa kisaikolojia kwenye taarifa yake. Isome kwa makini utaona.

Sababu kwa Wanahabari itakuwa

Zile zile za uminywaji wa demokrasia na matumizi ya nguvu za dola.

Ila Sababu halisi na za kweli

1. Hakuna fedha. Chama hakina fedha za kuunganisha Chaguzi mbili za marudio tena kwa majimbo manne na kata zaidi ya 80. Hii ni kutokana na matumizi mabaya ya ruzuku.

2. Chama kimeshindwa kupata wagombea wazuri, imara na wenye nguvu ( Strong Candidates) watakaoweza kushindana. Mfano angali mgombea wa Buyungu wa Chadema na wa CCM. Huko ukonga kapatikana binti mmoja, Korogwe huenda asipatikane kabisa, Monduli sijasikia ila Fred Lowassa nasikia kakataa.

Chadema ya sasa chini Mbowe imepoteza mvuto kwa watu wenye uelewa na kamwe haiwezi kupata watu strong tena. After all watu strong walimwamini Dr Slaa sio Mbowe.

Wakati ni sasa wa viongozi wa chama, Wabunge na Wanachama kufanya mabadiliko ya uongozi. Tunahitaji fikra mpya, mbinu mpya na utendaji mpya unaoendana na nyakati ndani ya Chama. TUUNGANE kwa manufaa ya Taifa na Upinzani nchini.

Benson Mramba

Una chuki nao siku nyingi mbona unajulikana bro Mramba
 
Shida yako ni ileile ya kumpiga vita Mbowe, hakuna utabiri wowote hapo!
 
Siasa ni kama Kubet ukianza kuzifuatilia kila siku utakuwa unaendelea kujua ligi za mataifa karibu yote ila haiwezi kukufanya ukawa bora.

Chadema si Waungane tu na CCM wawe chama kimoja ili wapambane na CUF na NCCR.
Kwanini hata hao cuf na nccr wasijiunge na ccm ? Kwani wao siyo watanzania?
 
Siku hizi makamanda wamejaa matusi tu ....hakuna hoja kwa hoja tena ...
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Back
Top Bottom