Maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA chini ya mwenyekiti Mbowe kesho lazima yatakuwa haya

Ili kuokoa fedha za wanyonge ni bora wasishiriki uchaguzi kwani kwa hali ilivyo ni bora iwe hivyo
 
Kwa sisi tunaoijua CHADEMA ya sasa na aina ya viongozi wake hasa washauri wa Mwenyekiti na Kamati Kuu yake, na kwa kuzingatia maudhui ya taarifa ya Makene naweza kutabari maazimio ya Kamati Kuu ya kesho kama ifuatavyo:-

CHADEMA itajitoa kwenye uchaguzi huu wa marudio unaokuja.

Mbowe na vijana wake washakubaliana hilo ili kukwepa uwajibikaji kwa matokeo ya Buyungu. Na kwa Kamati Kuu hii hakuna wa kupinga wala wa kumwajibisha ni kulindana mwanzo mwisho. Makene ameanza kutuandaa kisaikolojia kwenye taarifa yake. Isome kwa makini utaona.

Sababu kwa Wanahabari itakuwa

Zile zile za uminywaji wa demokrasia na matumizi ya nguvu za dola.

Ila Sababu halisi na za kweli

1. Hakuna fedha. Chama hakina fedha za kuunganisha Chaguzi mbili za marudio tena kwa majimbo manne na kata zaidi ya 80. Hii ni kutokana na matumizi mabaya ya ruzuku.

2. Chama kimeshindwa kupata wagombea wazuri, imara na wenye nguvu ( Strong Candidates) watakaoweza kushindana. Mfano angali mgombea wa Buyungu wa Chadema na wa CCM. Huko ukonga kapatikana binti mmoja, Korogwe huenda asipatikane kabisa, Monduli sijasikia ila Fred Lowassa nasikia kakataa.

Chadema ya sasa chini Mbowe imepoteza mvuto kwa watu wenye uelewa na kamwe haiwezi kupata watu strong tena. After all watu strong walimwamini Dr Slaa sio Mbowe.

Wakati ni sasa wa viongozi wa chama, Wabunge na Wanachama kufanya mabadiliko ya uongozi. Tunahitaji fikra mpya, mbinu mpya na utendaji mpya unaoendana na nyakati ndani ya Chama. TUUNGANE kwa manufaa ya Taifa na Upinzani nchini.

Benson Mramba
Bensom mramba uliacha nini chadema?
Pita hivi
 
1. Taarifa ya Makene ipo wapi?

2. Kwako wewe inaelekea sababu "zile zile za uminywaji wa demokrasia na matumizi ya dola" huoni kuwa ni sababu muhimu. Kwa kuamini hili tu, ushawishi wa hoja yako unakuwa batili.

3." Matumizi mabaya ya ruzuku" Sijui. Unaweza kuwa sahihi, ila ungeweka mifano halisi hoja yako ingepata uzito kidogo.

4. Chama kupata wagombea wazuri; kama hao wazuri unaowaona hawajitokezi kugombea, unataka chama kifanye nini. Kama hao waliogombea walipendelewa, sema tujue.

5. Unapomtaja Dr Slaa kama kiongozi hukitendei haki chama. Kiongozi anayeamini kwa dhati wa moyo wake kinachosimamiwa na chama hakisaliti chama na imani yake. Dr Slaa ni mchumia tumbo kama walivyo wachumia tumbo wengi tu kwenye siasa huko CCM na hata wengi waliopo ndani ya CHADEMA.

6. Kama Fred Lowassa kakataa, hiyo ni haki yake, na pengine ni vizuri kulinda heshima ya mzazi wake anayekufa kisiasa. Si busara kumdhalilisha mzee kiuhakika au kimizengwe inayoweza kufanywa na CCM katika uchaguzi huo.

7. Unaweza ukawa sahihi kuhusu 'washauri' ndani ya CHADEMA na ushauri wanaompa Mbowe. Lakini pia unaelekea kujisahaulisha kwa maksudi hali ngumu iliyowekwa na utawala uliopo madarakani sasa hivi. Inaonekana subira zinawaishia haraka kwa kuona Mbowe anaendelea kuwa kikwazo kwa matakwa yenu.

Kwa hayo yote niliyoyaweka hapo juu, wewe hufai kabisa kuwa mshauri wa Mbowe na hukitakii mema Chama hicho.
Sitakuwa mbali sana na ukweli kuwa umetumwa.
 
1. Taarifa ipo mitandaoni.

2. Sababu hizi ni za tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini. Upinzani duniani kote unapambana na walioko madarakani. CHADEMA iliamini katika nguvu ya umma. Nguvu ya umma ndio ilikuwa msaada wa ushindi miaka yote. Kwa sasa umma hauko na CHADEMA tena. Sababu ni viongozi wa sasa hawaaminiki, sio waadilifu watu hawawezi kurisk maisha kwa ajili yao.

3. Mifano ya matumizi mabaya waulize viongozi wa mikoa, wilaya n.k pia rejea ripoti ya CAG.

haoTangu mwaka 2011 CCM ilipata shida sana kupata wagombea. CHADEMA ilikuwa na wagombea lukuki kiasi cha kuleta shida kuchuja. Hii ni kwasababu chama kiliaminika pamoja na kwamba dola ilikuwepo, kesi za kubambikwa n.k. Kwa sasa chama hakina mvuto, hakina viongozi ambao umma unawaamini kuwa wapo kwa ajili ya maslahi ya Umma wote wanaonekana Wajasiriamali tu. Hivyo kupata wagombea kwasasa ni mtihani mzito. Chama kimejea miaka ya 2005.

5. Dr Slaa huwezi kuacha kumtaja hasa wakati huu tunapoangalia tulipojikwaa. Ukweli lazima usimwe. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Slaa na Zitto walikuwa nguzo muhimu kwa Chadema ila ubinafsi wa Mbowe na kutokujali kuliwaondoa. Hii ni kutokana na kiburi alichopewa Mbowe na vijana waliompoteza Lyatonga Mrema (Msigwa, Lissu na Lema) kwamba hakuna madhara yoyote kufukuza watu wala kuwakera. Chama ni kikubwa kuliko watu bila kujua kuwa chama kinajengwa na watu hao hao. Kuna elite kwenye siasa.

6. Fred kukataa ni kwa sababu ya kukosa imani na CHADEMA ya sasa. 2015 familia nzima ya Lowassa na wapambe wao waliiamini CHADEMA. Baada ya Slaa kuondoka hakuna wa kuaminika CHADEMA hata viongozi waliopo hawajiamini wenyewe. Wanakazana kutuonyesha kuwa magufuli ni mkatili kuliko marais wa CCM waliotangulia. Hatujasahau mauaji ya Zanzibar, mwembechai, mwangosi, Ally zona, Masoud, Mbwambo na Bomu Arusha, tokomeza n.k je haya aliyafanya magufuli? Magufuli ni Rais mwenye utu kuliko wote waliomtangulia ndani ya CCM ila tu ana mikwara mingi na watu wanamuamini.

7. Hali haijawahi kuwa rahisi wala haitakaa iwe rahisi. Biblia yenyewe inasema Ufalme wa Mungu unapatikana kwa nguvu na wenye nguvu wauteka sembuse duniani upewe madaraka kirahisi? Falme zote duniani, mbinguni na kuzimu bila nguvu hupati kitu. Tuliamini katika nguvu ya umma na ilitusaidia kushinda Arumeru na majimbo tuliyonayo sasa. Viongozi wa sasa ni waoga, wako kimaslahi hawajawahi kurisk chochote kwa ajili ya CHADEMA wala hawako tayari kufanya hivyo. Fuatilia hostoria yao wote waliopo ngazi za juu pale CHADEMA kwa sasa.

Hitimisho

Tunahitaji kufanya mabadiliko ya Uongozi kama tunaupenda upinzani katika nchi hii. Kama huoni kuwa Mbowe ni failure basi unataka CHADEMA ife. Jiite vyovyote utakavyojiita. Mbowe hawezi kupambana na magufuli. Angalia hata Washauri wa magufuli wa sasa linganisha na wa Mbowe.

Maprofesa wawili waliobakia pale CHADEMA hawaheshimiki na Mbowe mwenyewe wala vijana wake akina Mrema,Munisi na Lema. Wao wanajiona wana akili kuliko maprofesa. Kamati kuu imejaa watu wasiokuwa exposure , hawajui mfumo wa serikali wala hawana kitu zaidi kusubiri kumuunga mkono mwenyekiti na kuokoteza okoteza vitaarifa toka kwa wabunge wa CCM of which huwa hawapewi taarifa za ukweli pia.

TUJISAHIHISHE. Wakati ni sasa 2020 tutafutika chini ya uongozi huu. Nasikia sasa wanajipanga Mdee awe makamu mwenyekiti fullish
 
Chadema ya sasa chini Mbowe imepoteza mvuto kwa watu wenye uelewa na kamwe haiwezi kupata watu strong tena. After all watu strong walimwamini Dr Slaa sio Mbowe.

Kwani CHADEMA ilishawahi kuwa strong kama sasa chini ya uenyekiti wa nani? Naona Sheikh Yahaya amefufuka.
 
Kwa sisi tunaoijua CHADEMA ya sasa na aina ya viongozi wake hasa washauri wa Mwenyekiti na Kamati Kuu yake, na kwa kuzingatia maudhui ya taarifa ya Makene naweza kutabari maazimio ya Kamati Kuu ya kesho kama ifuatavyo:-

CHADEMA itajitoa kwenye uchaguzi huu wa marudio unaokuja.

Mbowe na vijana wake washakubaliana hilo ili kukwepa uwajibikaji kwa matokeo ya Buyungu. Na kwa Kamati Kuu hii hakuna wa kupinga wala wa kumwajibisha ni kulindana mwanzo mwisho. Makene ameanza kutuandaa kisaikolojia kwenye taarifa yake. Isome kwa makini utaona.

Sababu kwa Wanahabari itakuwa

Zile zile za uminywaji wa demokrasia na matumizi ya nguvu za dola.

Ila Sababu halisi na za kweli

1. Hakuna fedha. Chama hakina fedha za kuunganisha Chaguzi mbili za marudio tena kwa majimbo manne na kata zaidi ya 80. Hii ni kutokana na matumizi mabaya ya ruzuku.

2. Chama kimeshindwa kupata wagombea wazuri, imara na wenye nguvu ( Strong Candidates) watakaoweza kushindana. Mfano angali mgombea wa Buyungu wa Chadema na wa CCM. Huko ukonga kapatikana binti mmoja, Korogwe huenda asipatikane kabisa, Monduli sijasikia ila Fred Lowassa nasikia kakataa.

Chadema ya sasa chini Mbowe imepoteza mvuto kwa watu wenye uelewa na kamwe haiwezi kupata watu strong tena. After all watu strong walimwamini Dr Slaa sio Mbowe.

Wakati ni sasa wa viongozi wa chama, Wabunge na Wanachama kufanya mabadiliko ya uongozi. Tunahitaji fikra mpya, mbinu mpya na utendaji mpya unaoendana na nyakati ndani ya Chama. TUUNGANE kwa manufaa ya Taifa na Upinzani nchini.

Benson Mramba
Uchambuz kama huu n muhm sana kwa maendeleo ya taifa... big up!
 
Chadema ya sasa chini Mbowe imepoteza mvuto kwa watu wenye uelewa na kamwe haiwezi kupata watu strong tena. After all watu strong walimwamini Dr Slaa sio Mbowe.

Kwani CHADEMA ilishawahi kuwa strong kama sasa chini ya uenyekiti wa nani? Naona Sheikh Yahaya amefufuka.
Kila kitabu na zama zake
 
Why so much hate? Kwani lazima uwe CHADEMA? CCM Wanapokea wenye mizigo kama wewe. Kwa nn usiende kupumzishwa? Au Chadema ilianzishwa kwa hela zako na unataka urudishiwe chako kwanza?
 
Kwa sisi tunaoijua CHADEMA ya sasa na aina ya viongozi wake hasa washauri wa Mwenyekiti na Kamati Kuu yake, na kwa kuzingatia maudhui ya taarifa ya Makene naweza kutabari maazimio ya Kamati Kuu ya kesho kama ifuatavyo:-

CHADEMA itajitoa kwenye uchaguzi huu wa marudio unaokuja.

Mbowe na vijana wake washakubaliana hilo ili kukwepa uwajibikaji kwa matokeo ya Buyungu. Na kwa Kamati Kuu hii hakuna wa kupinga wala wa kumwajibisha ni kulindana mwanzo mwisho. Makene ameanza kutuandaa kisaikolojia kwenye taarifa yake. Isome kwa makini utaona.

Sababu kwa Wanahabari itakuwa

Zile zile za uminywaji wa demokrasia na matumizi ya nguvu za dola.

Ila Sababu halisi na za kweli

1. Hakuna fedha. Chama hakina fedha za kuunganisha Chaguzi mbili za marudio tena kwa majimbo manne na kata zaidi ya 80. Hii ni kutokana na matumizi mabaya ya ruzuku.

2. Chama kimeshindwa kupata wagombea wazuri, imara na wenye nguvu ( Strong Candidates) watakaoweza kushindana. Mfano angali mgombea wa Buyungu wa Chadema na wa CCM. Huko ukonga kapatikana binti mmoja, Korogwe huenda asipatikane kabisa, Monduli sijasikia ila Fred Lowassa nasikia kakataa.

Chadema ya sasa chini Mbowe imepoteza mvuto kwa watu wenye uelewa na kamwe haiwezi kupata watu strong tena. After all watu strong walimwamini Dr Slaa sio Mbowe.

Wakati ni sasa wa viongozi wa chama, Wabunge na Wanachama kufanya mabadiliko ya uongozi. Tunahitaji fikra mpya, mbinu mpya na utendaji mpya unaoendana na nyakati ndani ya Chama. TUUNGANE kwa manufaa ya Taifa na Upinzani nchini.

Benson Mramba
Unajua kubeti
 
Back
Top Bottom