Maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA chini ya mwenyekiti Mbowe kesho lazima yatakuwa haya

Kwa sisi tunaoijua CHADEMA ya sasa na aina ya viongozi wake hasa washauri wa Mwenyekiti na Kamati Kuu yake, na kwa kuzingatia maudhui ya taarifa ya Makene naweza kutabari maazimio ya Kamati Kuu ya kesho kama ifuatavyo:-

CHADEMA itajitoa kwenye uchaguzi huu wa marudio unaokuja.

Mbowe na vijana wake washakubaliana hilo ili kukwepa uwajibikaji kwa matokeo ya Buyungu. Na kwa Kamati Kuu hii hakuna wa kupinga wala wa kumwajibisha ni kulindana mwanzo mwisho. Makene ameanza kutuandaa kisaikolojia kwenye taarifa yake. Isome kwa makini utaona.

Sababu kwa Wanahabari itakuwa

Zile zile za uminywaji wa demokrasia na matumizi ya nguvu za dola.

Ila Sababu halisi na za kweli

1. Hakuna fedha. Chama hakina fedha za kuunganisha Chaguzi mbili za marudio tena kwa majimbo manne na kata zaidi ya 80. Hii ni kutokana na matumizi mabaya ya ruzuku.

2. Chama kimeshindwa kupata wagombea wazuri, imara na wenye nguvu ( Strong Candidates) watakaoweza kushindana. Mfano angali mgombea wa Buyungu wa Chadema na wa CCM. Huko ukonga kapatikana binti mmoja, Korogwe huenda asipatikane kabisa, Monduli sijasikia ila Fred Lowassa nasikia kakataa.

Chadema ya sasa chini Mbowe imepoteza mvuto kwa watu wenye uelewa na kamwe haiwezi kupata watu strong tena. After all watu strong walimwamini Dr Slaa sio Mbowe.

Wakati ni sasa wa viongozi wa chama, Wabunge na Wanachama kufanya mabadiliko ya uongozi. Tunahitaji fikra mpya, mbinu mpya na utendaji mpya unaoendana na nyakati ndani ya Chama. TUUNGANE kwa manufaa ya Taifa na Upinzani nchini.

Benson Mramba
Mpumbavu sana wewe, huna unachokijua. Pole sana, ulitaka CDM ndio ikufanyie kila kitu kwenye maisha yako.
 
1. Taarifa ipo mitandaoni.

2. Sababu hizi ni za tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini. Upinzani duniani kote unapambana na walioko madarakani. CHADEMA iliamini katika nguvu ya umma. Nguvu ya umma ndio ilikuwa msaada wa ushindi miaka yote. Kwa sasa umma hauko na CHADEMA tena. Sababu ni viongozi wa sasa hawaaminiki, sio waadilifu watu hawawezi kurisk maisha kwa ajili yao.

3. Mifano ya matumizi mabaya waulize viongozi wa mikoa, wilaya n.k pia rejea ripoti ya CAG.

haoTangu mwaka 2011 CCM ilipata shida sana kupata wagombea. CHADEMA ilikuwa na wagombea lukuki kiasi cha kuleta shida kuchuja. Hii ni kwasababu chama kiliaminika pamoja na kwamba dola ilikuwepo, kesi za kubambikwa n.k. Kwa sasa chama hakina mvuto, hakina viongozi ambao umma unawaamini kuwa wapo kwa ajili ya maslahi ya Umma wote wanaonekana Wajasiriamali tu. Hivyo kupata wagombea kwasasa ni mtihani mzito. Chama kimejea miaka ya 2005.

5. Dr Slaa huwezi kuacha kumtaja hasa wakati huu tunapoangalia tulipojikwaa. Ukweli lazima usimwe. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Slaa na Zitto walikuwa nguzo muhimu kwa Chadema ila ubinafsi wa Mbowe na kutokujali kuliwaondoa. Hii ni kutokana na kiburi alichopewa Mbowe na vijana waliompoteza Lyatonga Mrema (Msigwa, Lissu na Lema) kwamba hakuna madhara yoyote kufukuza watu wala kuwakera. Chama ni kikubwa kuliko watu bila kujua kuwa chama kinajengwa na watu hao hao. Kuna elite kwenye siasa.

6. Fred kukataa ni kwa sababu ya kukosa imani na CHADEMA ya sasa. 2015 familia nzima ya Lowassa na wapambe wao waliiamini CHADEMA. Baada ya Slaa kuondoka hakuna wa kuaminika CHADEMA hata viongozi waliopo hawajiamini wenyewe. Wanakazana kutuonyesha kuwa magufuli ni mkatili kuliko marais wa CCM waliotangulia. Hatujasahau mauaji ya Zanzibar, mwembechai, mwangosi, Ally zona, Masoud, Mbwambo na Bomu Arusha, tokomeza n.k je haya aliyafanya magufuli? Magufuli ni Rais mwenye utu kuliko wote waliomtangulia ndani ya CCM ila tu ana mikwara mingi na watu wanamuamini.

7. Hali haijawahi kuwa rahisi wala haitakaa iwe rahisi. Biblia yenyewe inasema Ufalme wa Mungu unapatikana kwa nguvu na wenye nguvu wauteka sembuse duniani upewe madaraka kirahisi? Falme zote duniani, mbinguni na kuzimu bila nguvu hupati kitu. Tuliamini katika nguvu ya umma na ilitusaidia kushinda Arumeru na majimbo tuliyonayo sasa. Viongozi wa sasa ni waoga, wako kimaslahi hawajawahi kurisk chochote kwa ajili ya CHADEMA wala hawako tayari kufanya hivyo. Fuatilia hostoria yao wote waliopo ngazi za juu pale CHADEMA kwa sasa.

Hitimisho

Tunahitaji kufanya mabadiliko ya Uongozi kama tunaupenda upinzani katika nchi hii. Kama huoni kuwa Mbowe ni failure basi unataka CHADEMA ife. Jiite vyovyote utakavyojiita. Mbowe hawezi kupambana na magufuli. Angalia hata Washauri wa magufuli wa sasa linganisha na wa Mbowe.

Maprofesa wawili waliobakia pale CHADEMA hawaheshimiki na Mbowe mwenyewe wala vijana wake akina Mrema,Munisi na Lema. Wao wanajiona wana akili kuliko maprofesa. Kamati kuu imejaa watu wasiokuwa exposure , hawajui mfumo wa serikali wala hawana kitu zaidi kusubiri kumuunga mkono mwenyekiti na kuokoteza okoteza vitaarifa toka kwa wabunge wa CCM of which huwa hawapewi taarifa za ukweli pia.

TUJISAHIHISHE. Wakati ni sasa 2020 tutafutika chini ya uongozi huu. Nasikia sasa wanajipanga Mdee awe makamu mwenyekiti fullish
Utaachwa peke yako , mbowe atarudi ccm kabla yako?
 
Kwa sisi tunaoijua CHADEMA ya sasa na aina ya viongozi wake hasa washauri wa Mwenyekiti na Kamati Kuu yake, na kwa kuzingatia maudhui ya taarifa ya Makene naweza kutabari maazimio ya Kamati Kuu ya kesho kama ifuatavyo:-
CHADEMA itajitoa kwenye uchaguzi huu wa marudio unaokuja.
Mbowe na vijana wake washakubaliana hilo ili kukwepa uwajibikaji kwa matokeo ya Buyungu. Na kwa Kamati Kuu hii hakuna wa kupinga wala wa kumwajibisha ni kulindana mwanzo mwisho. Makene ameanza kutuandaa kisaikolojia kwenye taarifa yake. Isome kwa makini utaona.
Sababu kwa Wanahabari itakuwa
Zile zile za uminywaji wa demokrasia na matumizi ya nguvu za dola.
Ila Sababu halisi na za kweli
1. Hakuna fedha. Chama hakina fedha za kuunganisha Chaguzi mbili za marudio tena kwa majimbo manne na kata zaidi ya 80. Hii ni kutokana na matumizi mabaya ya ruzuku.
2. Chama kimeshindwa kupata wagombea wazuri, imara na wenye nguvu ( Strong Candidates) watakaoweza kushindana. Mfano angali mgombea wa Buyungu wa Chadema na wa CCM. Huko ukonga kapatikana binti mmoja, Korogwe huenda asipatikane kabisa, Monduli sijasikia ila Fred Lowassa nasikia kakataa.
Chadema ya sasa chini Mbowe imepoteza mvuto kwa watu wenye uelewa na kamwe haiwezi kupata watu strong tena. After all watu strong walimwamini Dr Slaa sio Mbowe.
Wakati ni sasa wa viongozi wa chama, Wabunge na Wanachama kufanya mabadiliko ya uongozi. Tunahitaji fikra mpya, mbinu mpya na utendaji mpya unaoendana na nyakati ndani ya Chama. TUUNGANE kwa manufaa ya Taifa na Upinzani nchini.
Benson Mramba
 
Kwa sisi tunaoijua CHADEMA ya sasa na aina ya viongozi wake hasa washauri wa Mwenyekiti na Kamati Kuu yake, na kwa kuzingatia maudhui ya taarifa ya Makene naweza kutabari maazimio ya Kamati Kuu ya kesho kama ifuatavyo:-

CHADEMA itajitoa kwenye uchaguzi huu wa marudio unaokuja.

Mbowe na vijana wake washakubaliana hilo ili kukwepa uwajibikaji kwa matokeo ya Buyungu. Na kwa Kamati Kuu hii hakuna wa kupinga wala wa kumwajibisha ni kulindana mwanzo mwisho. Makene ameanza kutuandaa kisaikolojia kwenye taarifa yake. Isome kwa makini utaona.

Sababu kwa Wanahabari itakuwa

Zile zile za uminywaji wa demokrasia na matumizi ya nguvu za dola.

Ila Sababu halisi na za kweli

1. Hakuna fedha. Chama hakina fedha za kuunganisha Chaguzi mbili za marudio tena kwa majimbo manne na kata zaidi ya 80. Hii ni kutokana na matumizi mabaya ya ruzuku.

2. Chama kimeshindwa kupata wagombea wazuri, imara na wenye nguvu ( Strong Candidates) watakaoweza kushindana. Mfano angali mgombea wa Buyungu wa Chadema na wa CCM. Huko ukonga kapatikana binti mmoja, Korogwe huenda asipatikane kabisa, Monduli sijasikia ila Fred Lowassa nasikia kakataa.

Chadema ya sasa chini Mbowe imepoteza mvuto kwa watu wenye uelewa na kamwe haiwezi kupata watu strong tena. After all watu strong walimwamini Dr Slaa sio Mbowe.

Wakati ni sasa wa viongozi wa chama, Wabunge na Wanachama kufanya mabadiliko ya uongozi. Tunahitaji fikra mpya, mbinu mpya na utendaji mpya unaoendana na nyakati ndani ya Chama. TUUNGANE kwa manufaa ya Taifa na Upinzani nchini.

Benson Mramba
:oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops: oops! We lofa kweli
 
Maana ya neneo LOFA ni Mtu anayezururazurura asiye na kitu wala kazi. so badala ya kumwambia mwezio aliyekupa ushauri lofa ni bora ukakaa chini kuchambua na kufanyia kazi alichokwambia maana kukimbilia neno lofa huku fact unaiacha unaeza jikuta ww ndo unakuwa lofa :p:p:p
 
Kwa sisi tunaoijua CHADEMA ya sasa na aina ya viongozi wake hasa washauri wa Mwenyekiti na Kamati Kuu yake, na kwa kuzingatia maudhui ya taarifa ya Makene naweza kutabari maazimio ya Kamati Kuu ya kesho kama ifuatavyo:-

CHADEMA itajitoa kwenye uchaguzi huu wa marudio unaokuja.

Mbowe na vijana wake washakubaliana hilo ili kukwepa uwajibikaji kwa matokeo ya Buyungu. Na kwa Kamati Kuu hii hakuna wa kupinga wala wa kumwajibisha ni kulindana mwanzo mwisho. Makene ameanza kutuandaa kisaikolojia kwenye taarifa yake. Isome kwa makini utaona.

Sababu kwa Wanahabari itakuwa

Zile zile za uminywaji wa demokrasia na matumizi ya nguvu za dola.

Ila Sababu halisi na za kweli

1. Hakuna fedha. Chama hakina fedha za kuunganisha Chaguzi mbili za marudio tena kwa majimbo manne na kata zaidi ya 80. Hii ni kutokana na matumizi mabaya ya ruzuku.

2. Chama kimeshindwa kupata wagombea wazuri, imara na wenye nguvu ( Strong Candidates) watakaoweza kushindana. Mfano angali mgombea wa Buyungu wa Chadema na wa CCM. Huko ukonga kapatikana binti mmoja, Korogwe huenda asipatikane kabisa, Monduli sijasikia ila Fred Lowassa nasikia kakataa.

Chadema ya sasa chini Mbowe imepoteza mvuto kwa watu wenye uelewa na kamwe haiwezi kupata watu strong tena. After all watu strong walimwamini Dr Slaa sio Mbowe.

Wakati ni sasa wa viongozi wa chama, Wabunge na Wanachama kufanya mabadiliko ya uongozi. Tunahitaji fikra mpya, mbinu mpya na utendaji mpya unaoendana na nyakati ndani ya Chama. TUUNGANE kwa manufaa ya Taifa na Upinzani nchini.

Benson Mramba
Hivi kikao kiliishaje? Sijasikia TAMKO KALI.
 
Siasa ni kama Kubet ukianza kuzifuatilia kila siku utakuwa unaendelea kujua ligi za mataifa karibu yote ila haiwezi kukufanya ukawa bora.

Chadema si Waungane tu na CCM wawe chama kimoja ili wapambane na CUF na NCCR.
Haitakaa itokee malaika aungane na shetani.
 
Siku hizi makamanda wamejaa matusi tu ....hakuna hoja kwa hoja tena ...
Makamanda wana hasira sana, walienda lala EU sakafuni wamepuuzwa, sasa hivi wanatafita huruma ya Trump, mzee wa shithole cpuntries awasaidie.
 
Back
Top Bottom