Maazimio Ya Kamati kuu CHADEMA live Azam Tv

Mtanzania wameripoti kuwa itakuwa live kupitia vituo vikubwa vitatu ila sijajua itakuwa ni vituo gani.Ilikuwa ni katika kipindi cha magazeti cha channel 10 ndio nimesikia hii habari.
 
TAARIFA KUHUSU PRESS CONFERENCE YA CHADEMA KUWA LIVE..

Binafsi nimeongea na mkuu wa Idara ya ya Habari na Mawasiliano CHADEMA Kamanda Tumaini Makene.

Ameniambia kwamba mpaka jana Saa 5usiku walikubaliana na CHANNEL TATU ZA TALEVISHENI kuonesha Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari moja kwa Moja (LIVE) ikiwa ni pamoja na ITV NA AZAM.

Leo asubuhi ameambiwa na ITV kwamba hawataweza kurusha live Mkutano huo kwa sababu za kiufundi ambazo ziko juu ya uwezo wao......

AZAM TV nao wametoa taarifa kwamba hawataweza kurusha Mkutano huo Live kwa sababu vyombo vyao vimepelekwa Zanzibar ingawa jana walikubaliana na CHADEMA kurusha Mkutano Huo LIVE....

"Kutokana na hayo, imeshindikana kurusha Mkutano huo Live na kwa hiyo Chadema tutarekodi Mkutano huo na kurusha kipindi usiku au Jioni......... "Amemalizia Makene.

Binafsi nimesikitika Sana........

Daniel Ezekiel Daniel
 
Hahahahahaaaaaa! Wameshindwa gharama za kurusha live
 
Nasikikia CCM nayo inaandaa tamko la kuiunga mkono serikali kuhusu marufuku ya CHADEMA na UKAWA kufanya shughuli na mikutano ya siasa mpaka 2020.
 
Ngoja nizime kabisa TV yangu, hatuna muda wa kusikiliza kelele za wanafiki. Sasa ni muda wa kazi tu!
hahaha wewe ndio mnafiki unayegundua kuwa unatakiwaufanye kazi wakati matangazo ya chama kikubwa yakiwa hewani
 
Back
Top Bottom