Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,113
Lizaboni, TV ni garama sana. Hebu fikiria kwa buku Saba....utatakiwa ukae Muda gani ili upate mil.2???Kwani TV ina gharama gani?
Lizaboni, TV ni garama sana. Hebu fikiria kwa buku Saba....utatakiwa ukae Muda gani ili upate mil.2???Kwani TV ina gharama gani?
Huu ndiyo umbea sasa. Unasikia?Nasikikia CCM nayo inaandaa tamko la kuiunga mkono serikali kuhusu marufuku ya CHADEMA na UKAWA kufanya shughuli na mikutano ya siasa mpaka 2020.
Dah uhondo umekosekana..!TAARIFA KUHUSU PRESS CONFERENCE YA CHADEMA KUWA LIVE..
Binafsi nimeongea na mkuu wa Idara ya ya Habari na Mawasiliano CHADEMA Kamanda Tumaini Makene.
Ameniambia kwamba mpaka jana Saa 5usiku walikubaliana na CHANNEL TATU ZA TALEVISHENI kuonesha Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari moja kwa Moja (LIVE) ikiwa ni pamoja na ITV NA AZAM.
Leo asubuhi ameambiwa na ITV kwamba hawataweza kurusha live Mkutano huo kwa sababu za kiufundi ambazo ziko juu ya uwezo wao......
AZAM TV nao wametoa taarifa kwamba hawataweza kurusha Mkutano huo Live kwa sababu vyombo vyao vimepelekwa Zanzibar ingawa jana walikubaliana na CHADEMA kurusha Mkutano Huo LIVE....
"Kutokana na hayo, imeshindikana kurusha Mkutano huo Live na kwa hiyo Chadema tutarekodi Mkutano huo na kurusha kipindi usiku au Jioni......... "Amemalizia Makene.
Binafsi nimesikitika Sana........
Daniel Ezekiel Daniel
Mbona mlisema TBC1 kurusha Bunge siyo gharama?Lizaboni, TV ni garama sana. Hebu fikiria kwa buku Saba....utatakiwa ukae Muda gani ili upate mil.2???
Jibu lako nimelikubali sana mkuu , Hahaha , kwa iyo ye kazi yake ilikua kuangalia TV , akizima mana yake hana kazi ya kufanya .Hahahah hiyo tv unazima kusikia chadema wanataka kuongea acha upuuzi,alafu unasema muda wa kazi
Unajishuku.Lumumba fc huwa wakisikia CHADEMA live, huwa wanatamani hata kulia. Ngoja tuone!
"Kutokana na hayo, imeshindikana kurusha Mkutano huo Live na kwa hiyo Chadema tutarekodi Mkutano huo na kurusha kipindi usiku au Jioni......... "Amemalizia Makene.
Wewe ni yule Mwenye Mkia ama usiye na Mkia ?Ngoja nizime kabisa TV yangu, hatuna muda wa kusikiliza kelele za wanafiki. Sasa ni muda wa kazi tu!
Ama kweli mmekula kiapo kutumikia MAGAMBA. Pro CCM at work.Kutorusha Live hivyo vyombo vya habari viko sahihi.Kuna vitu ni hatari kwao vinavyoweza kuwagharimu ikiwa ni pamoja na kufungiwa na TCRA hasa ukizingatia tabia ya kuropoka vitu visivyo na ushahidi na hatarishi kwa usalama wa nchi waliyo CHADEMA.Waweza ongea kitu hewani ambacho kinaweza kigharimu kituo cha television.Hiyo ya kurekodi kwanza imetulia.Wahariri wanapata muda wa kuangalia na kujiridhisha kuhusu hicho kilichomo humo kwenye tamko kabla ya kurusha hewani kwa usalama wa kituo chao,usalama wa nchi na ukweli na uhakika wa habari husika.
Kituo kabla ya kurusha LIVE lazima kiwe na uhakika wa tabia na aina ya huyo mrusha habari Live lazima wamfanyie KYC (know your customer) kabla ya kupa go ahead ya kuwa ruksa rusha live.Wakimkatalia ni sawa.Kwani Hata CNN au BBC hata ilipwe shilingi ngapi haiwezi rusha Live mahojiano na viongozi wa ISIS au ALKAEDA.
Huwa unaangalia BBC na CNN ?Kutorusha Live hivyo vyombo vya habari viko sahihi.Kuna vitu ni hatari kwao vinavyoweza kuwagharimu ikiwa ni pamoja na kufungiwa na TCRA hasa ukizingatia tabia ya kuropoka vitu visivyo na ushahidi na hatarishi kwa usalama wa nchi waliyo CHADEMA.Waweza ongea kitu hewani ambacho kinaweza kigharimu kituo cha television.Hiyo ya kurekodi kwanza imetulia.Wahariri wanapata muda wa kuangalia na kujiridhisha kuhusu hicho kilichomo humo kwenye tamko kabla ya kurusha hewani kwa usalama wa kituo chao,usalama wa nchi na ukweli na uhakika wa habari husika.
Kituo kabla ya kurusha LIVE lazima kiwe na uhakika wa tabia na aina ya huyo mrusha habari Live lazima wamfanyie KYC (know your customer) kabla ya kupa go ahead ya kuwa ruksa rusha live.Wakimkatalia ni sawa.Kwani Hata CNN au BBC hata ilipwe shilingi ngapi haiwezi rusha Live mahojiano na viongozi wa ISIS au ALKAEDA.
ahahaha,sasa wakati unaangalia ulichokuwa unaangalia haukuwa muda wa kazi?Ngoja nizime kabisa TV yangu, hatuna muda wa kusikiliza kelele za wanafiki. Sasa ni muda wa kazi tu!
Kuna taarifa kuwa hawatakua tena LIVE, sijui kama ni kweli pengine Tumaini Makene anaaweza kuthibitisha jambo hili au kukanusha ila yote heri tuMaazimio Kamati kuu CHADEMA yatatolewa moja kwa moja kuanzia saa tano kupitia Azam Tv.
Kutorusha Live hivyo vyombo vya habari viko sahihi.Kuna vitu ni hatari kwao vinavyoweza kuwagharimu ikiwa ni pamoja na kufungiwa na TCRA hasa ukizingatia tabia ya kuropoka vitu visivyo na ushahidi na hatarishi kwa usalama wa nchi waliyo CHADEMA.Waweza ongea kitu hewani ambacho kinaweza kigharimu kituo cha television.Hiyo ya kurekodi kwanza imetulia.Wahariri wanapata muda wa kuangalia na kujiridhisha kuhusu hicho kilichomo humo kwenye tamko kabla ya kurusha hewani kwa usalama wa kituo chao,usalama wa nchi na ukweli na uhakika wa habari husika.
Kituo kabla ya kurusha LIVE lazima kiwe na uhakika wa tabia na aina ya huyo mrusha habari Live lazima wamfanyie uchambuzi wa vipengele vya kitaalamu vya KYC (know your customer) kabla ya kupa go ahead ya kuwa ruksa rusha live.Wakimkatalia ni sawa.Kwani Hata CNN au BBC hata ilipwe shilingi ngapi haiwezi rusha Live mahojiano na viongozi wa ISIS au ALKAEDA.
Huoni aibu? Wanaume wenzio wapo kazini muda huu wewe umekalisha kwenye kochi unatazama tv!!!!!!Ngoja nizime kabisa TV yangu, hatuna muda wa kusikiliza kelele za wanafiki. Sasa ni muda wa kazi tu!
system,ishafanya yake nn?TAARIFA KUHUSU PRESS CONFERENCE YA CHADEMA KUWA LIVE..
Binafsi nimeongea na mkuu wa Idara ya ya Habari na Mawasiliano CHADEMA Kamanda Tumaini Makene.
Ameniambia kwamba mpaka jana Saa 5usiku walikubaliana na CHANNEL TATU ZA TALEVISHENI kuonesha Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari moja kwa Moja (LIVE) ikiwa ni pamoja na ITV NA AZAM.
Leo asubuhi ameambiwa na ITV kwamba hawataweza kurusha live Mkutano huo kwa sababu za kiufundi ambazo ziko juu ya uwezo wao......
AZAM TV nao wametoa taarifa kwamba hawataweza kurusha Mkutano huo Live kwa sababu vyombo vyao vimepelekwa Zanzibar ingawa jana walikubaliana na CHADEMA kurusha Mkutano Huo LIVE....
"Kutokana na hayo, imeshindikana kurusha Mkutano huo Live na kwa hiyo Chadema tutarekodi Mkutano huo na kurusha kipindi usiku au Jioni......... "Amemalizia Makene.
Binafsi nimesikitika Sana........
Daniel Ezekiel Daniel
Huu ndiyo umbea sasa. Unasikia?