Maazimio Ya Kamati kuu CHADEMA live Azam Tv

Maazimio Ya Kamati kuu CHADEMA live Azam Tv

Ngoja nizime kabisa TV yangu, hatuna muda wa kusikiliza kelele za wanafiki. Sasa ni muda wa kazi tu!

Zima zote hakuna aliyekulazimisha.Hata siye hatukuangalia ile mipasho kule Dodoma
 
Strategically Chadema wanatuangusha,mkutano kama huo ulipaswa kuwa weekend ili watu wengi wawe na nafasi ya kuuona,pia walipaswa kuutangaza japo four days before the event,sasa kwa hali hii ni kama hawakujipanga.
 
Kutorusha Live hivyo vyombo vya habari viko sahihi.Kuna vitu ni hatari kwao vinavyoweza kuwagharimu ikiwa ni pamoja na kufungiwa na TCRA hasa ukizingatia tabia ya kuropoka vitu visivyo na ushahidi na hatarishi kwa usalama wa nchi waliyo nayo CHADEMA.Waweza ongea kitu hewani ambacho kinaweza kigharimu kituo cha television.Hiyo ya kurekodi kwanza imetulia.Wahariri wanapata muda wa kuangalia na kujiridhisha kuhusu hicho kilichomo humo kwenye tamko kabla ya kurusha hewani kwa usalama wa kituo chao,usalama wa nchi na ukweli na uhakika wa habari husika.

Kituo kabla ya kurusha LIVE lazima kiwe na uhakika wa tabia na aina ya huyo mrusha habari Live lazima wamfanyie uchambuzi wa vipengele vya kitaalamu vya KYC (know your customer) kabla ya kutoa go ahead ya kuwa ruksa rusha live.Wakimkatalia ni sawa.Kwani Hata CNN au BBC hata ilipwe shilingi ngapi haiwezi rusha Live mahojiano na viongozi wa ISIS au ALKAEDA.
Unafananisha CHADEMA NA ISIS? Mungu akuhurumie
 
Jamani wengine Tupo makazini vipi tuache kuhudumia Watanzania walipa kodi Twende tukacheki hayo maazimio ya kamati kuu
Wewe kazi yako ya corner bar usiku inahusianaje na matangazo ya mchana kwenye tv?
 
Strategically Chadema wanatuangusha,mkutano kama huo ulipaswa kuwa weekend ili watu wengi wawe na nafasi ya kuuona,pia walipaswa kuutangaza japo four days before the event,sasa kwa hali hii ni kama hawakujipanga.
Hata watangaze mwaka mzima ,hamna MTU Wa kukaa na kungalia porojo za Chadema na Mbowe asiye na msimamo.

Anayemuita fisadi Leo ndio mgombea/urais wa chadema 2020
 
Back
Top Bottom