Cotton pamba
JF-Expert Member
- Dec 16, 2020
- 303
- 208
Kwani uliambiwa hawaoi??nakama hawaoi sasa la kuchunguza mademu apa linakujaje mkuu?? Jaribu kuheshimu mawazo ya watuMaaskofu wapumbavu tu hao. Kwanza tutaanza kuwadukua tuwajue na madem zao tuwaanike.
Magufuli siku zake za mwisho za uhai alijua anakufa na dalili zilionekana wazi kwa wote kuona ndo maana watu walianza kuulizia aliko hasa baada ya kutoonekana kanisani lakini si Serikali wala hawa wajinga wa CCM waliweza kutoa jibu sahihi. Baada ya kifo ulimwengu uneambiwa kuwa hospitalini karibu na kitanda chake cha kifo kulikuwa na Viongozi wa Dini wakiwemo Maaskofu na Mapadre kwa Wakristo na Masheikhe ikiwa ni pamoja na Mufti. Tunaambiwa Viongozi hawa wa Dini walisali na kuimba nae na kuwa Wakristo walimpaka Mafuta matakatifu na kupewa Komunio ya mwisho kwa hiyo hii ina maana kuwa walikuwa wa mwisho kumuona na kuzungumza nae akiwa hai. Viongozi wa Serikali na Chama na ndugu zake walikuwa wapi wakati huo wa mwisho? Pili, hawa Viongozi wa Dini wengi hivi walijuaje hali ya Rais na walifikafikaje Hospitali wakati Nchi nzimà ilikuwa hajui alipo? Mwisho nani aliwakusanya na kuwaandaa wakamuage Rais? Siku za mwongo ni fupi!Mie sikuona kama walikuwa waoga maana walisema ukweli MTUPU hadi wengine kuanza kutishiwa kuhusu uraia wao na baadhi hadi hii leo passport zao wamenyang’anywa.
Kwa speed tuliyoanza nayo kwa vijembe sijui mmh Ni Mungu tu akaonekane zaidi!Ni lazima Viongozi wote wa dini zetu washikamane na kuwa na sauti moja katika kuhakikisha haki na usawa vinaheshimiwa nchini bila kujali itikadi zetu. Tukumbuke haki huinua Taifa na kuleta maelewano yenye tija kwa Taifa.
Kwa speed tuliyoanza nayo kwa vijembe sijui mmh Ni Mungu tu akaonekane zaidi!
Wanampangia?
Hawampangii wanamkumbusha wajibu wake km alivyoapa kulinda katiba y nchi. Ukiwa Rais huongozi tu kwa utashi wako.
We kichwani mind.u acha kujipumbaza Hawa maaskof wamepambania haki mwanzo mwisho Hadi mpuuza haki Mauri yakamfika Sasa Ni wakati wa kuijenga Tanzania ambayo Rais anaogopa cheo chake kuliko Rais anayependa kuogopwaMaaskofu wasije kuwa wameeanza matamko yao kwa kuwa Rais wa sasa ni Muislamu, mbona wakati wa utawala wa Hayati Magufuli hawakuwa wakimshauri masuala ya kufuata haki na utii wa sheria na katiba.
Akili ndogoHao ni wajumbe wa Mwenyezi Mungu kwa wanadamu angalia laana ya Mungu isiwe juu yako,mwenzio alionywa Sana akusikia akamtuma musiba awatukane leo hayupo.Dawa ya kiburi kaburi.
Akili ndogoMambo hayahaya ndio mliyafanya mkadhani mnamsaidia Magufuli kumbe ndio mnamtengenezea anguko lake ujinga sana mnafanya nyie mataga mnadhani mnamlipia kisasi JPM kumbe mnamchonganisha na wananchi wake nao wakalia kwamba serikali yao inawaonea vilio vikasikika mbinguni Sasa anzeni Tena kutengeneza anguko la mama kwa kumchonganisha na watu wake na hao viongozi wa dini watu wakilia Tena kwa Mungu wao msijesema sio wazalendo.
Akili ndogoKwani uliambiwa hawaoi??nakama hawaoi sasa la kuchunguza mademu apa linakujaje mkuu?? Jaribu kuheshimu mawazo ya watu
Wameusia tu Ili asilewe kiburi
Uelewa mdogoAkili ndogo