Maaskofu (ukimuondoa Malasusa) wanapiga spana za HAKI Hadi aibu.

Maaskofu (ukimuondoa Malasusa) wanapiga spana za HAKI Hadi aibu.

Tutoe video zao wakiwa uchi wa mnyama wanakula waumini wao?

Kompromats
Nimecheka kijinga we chawa una laana, toa kwani cha ajabu hapa duniani ni kipi?

Yani uogopeshe watu kwa mambo ya kijinga hata kama ni kweli ,kwanini zitoke leo na sio mwaka jana? Pumbavu
 
Ni heri kuhubir haki na usawa kuliko kutumia nguvu kubwa kuzuia watu kula nguruwe, bata nk au kujihusisha na michezo kwa kudai ni haram.
Dini haipo kwa ajili ya kutupeleka tu mbinguni bali kushape tabia za watu na kujenga aman dunian.
Safi kabisa Maaskofu wameupiga mwingi.
 
Back
Top Bottom