Maaskofu (ukimuondoa Malasusa) wanapiga spana za HAKI Hadi aibu.

Maaskofu (ukimuondoa Malasusa) wanapiga spana za HAKI Hadi aibu.

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,775
Reaction score
3,842
Hawa Maaskofu (ukimuondoa Alex) ni kama wameambizana ni mwendo spana za HAKI hadi unajiuliza nini kimetokea!

1. Askofu Pissa, Rais TEC, Askofu Lindi (Haki).
2. Askofu Mkuu Ruwa'ichi, Askofu Jimbo Kuu Dar es Salaam - Haki & Wazalendo uchwara.
3. Askofu Laizer, KKKT Morogoro, Haki & No Reforms, No election.
 

Attachments

  • kumbushodawson_3471846.mp4
    1.9 MB
  • kumbushodawson_4797246.mp4
    14.1 MB
  • kumbushodawson_4997717.mp4
    9.2 MB
Yule wa karagwe amesoma ukimuona unaona elimu sio vyeti naye ni hataree kwa mafisadi na mafisi kiukweli sio kwamba wanamchukia mama Hali teteee saaana tz umasikini unaua watu wengi kila siku jamani watu wamekosa huruma CCM ni Zaid ya COVID 19.
 
Toa, ukishindwa leo utoa siku yoyote. Hata ikibidi upeleke hizo video TBC1, lakini hakuna wa kufumbia tena macho uvunjifu wa haki kwa kikundi cha majizi ya ccm.
Zitapenyezwa hata kwa kupitia mitandao ya Naijeria, huku zitakuja polepole tukijifanya hatuhusiki
 
Tutoe video zao wakiwa uchi wa mnyama wanakula waumini wao?

Compromats
Acha ujinga wa kuwalinda wahalifu kwa manufaa ya tumbo lako na vitisho vya kuwachafua watetezi wa haki
 
Ndio maana nimekuambia ukishindwa ziweke siku yoyote utakayo. Ukiona vipi zipeleke hata TBC1 kabisa. Lakini hakuna wa kuacha kudai haki.
Basi titaziweka YouTube channel ya chadema kanda ya kaskazini
 
Hawa Maaskofu (ukimuondoa Alex) ni kama wameambizana ni mwendo spana za HAKI hadi unamuuliza nini kimetokea!

1. Askofu Pisa, Rais TEC, Askofu Lindi (Haki).
2. Askofu Mkuu Ruwa'ichi, Askofu Jimbo Kuu Dar es Salaam - Haki & Wazalendo uchwara.
3. Askofu Laizer, KKKT Morogoro, Haki & No Reforms, No election.
Nao Wana matamanio ya kibinadamu.
 
Back
Top Bottom