Pota
JF-Expert Member
- Apr 8, 2011
- 2,043
- 788
viongozi wa kanisa wana wajibu wa kuwaelimisha waumini wao kimwili na kiroho...ndo maana makanisa yaliyokamilika yanajenga na mashule na mahospital pia, vinginevo yangejikita kujenga makanisa tu yasingepata mafanikio yalionayo kiroho. sioni shida kwa viongozi wetu kutupa mwanga katika tusiyoyajuaKweli umeamua kushikilia msimamo wako,lakini unapaswa ujue kanisani sio sehemu sahihi kwa hiyo mijadala,hayo jadilini mitaani kwenu.Kanisa ni Universal institution, sio taasisi ya kitaifa,ndio maana aihitaji kuwa raia ili uwe mshirika kama ilivyo kwa vyama vya siasa