Nawasihi maaskofu wamwache raisi wetu atimize wajibu wake kama mkuu wa nchi. Njama zozote za kupinga juhudi zake lazima zishindwe katika jina la yesu.
Kumekuwa na. juhudi za makusudi kumkwamisha mheshimiwa rais kwa sababu ambazo ni za kibinafsi kutoka KWA viongozi wa makanisa na so vinginevyo.
Tunajua baadhi ya makanisa yamekosa sadaka toka KWA waumini wapiga dili n.a. magendo na ambao wamekuwa wanufaika wa biashara chafu ndo maana kumekuwa na makelele ya hovyo kila kona ya nchi yetu kwa kidhibitiwa n.a. serikali ikiwemo kukwepa kodi KWA wafanyabiashara wasio waaminifu.
Nawasihi maaskofu mumuache rais wetu atimize wajibu wake KWA taifa lake.
Si kila aliitaye jina la yesu ni mtumishi wa kweli wa Mungu.
Tujihadhari nao watumishi hawa na tuwaepuke.