lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Waheshimiwa viongozi wa dini,kabla ya maombi ya kuliombea taifa,yafanyike mapatano kwanza,kati ya serekali,na wananchi wake,waheshimiwa maskofu,mkifanya hivyo, tukiomba maombi yetu yatafika mbinguni,waheshimiwa viongozu wetu wa dini mkifanya mapatano, tukatubu,dhambi zetu,tukaomba toba ,na baada ya toba tukafanya maombi yatafika mbinguni,na mungu atajibu maombi
Waheshimiwa,nyie mmetufundisha makanisani kuwa huwezi kuomba mungu,alfu ukawa na kinyongo alfu mungu akasikia maombi yetu.
Waheshimiwa,nyie mmetufundisha makanisani kuwa huwezi kuomba mungu,alfu ukawa na kinyongo alfu mungu akasikia maombi yetu.