donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,042
- 21,517
kichuli!
Hapana mkuu, ur so wrong. Kichuri si hiko!
Mmmh...damu ya nani?
Aaaghhhh ukiambiwa au ukiona kichuri mchanganyiko wake naona hata neno la kichuri ukilisikia linakugogoaHapana mkuu, ur so wrong. Kichuri si hiko!
mwigulu....
Nilijua kichuli ni damu. Kuna jamaa wa maeneo yetu yale, nilisoma naye, anapokasirika utasikia akisema 'nasikia harufu ya kichuli'
No thanks pleaseee!!
mwigulu....
Lazima nikanywe kisusio X-mass hii kijijini marangu..
tamu sana hii kitu usipime..
Patia yeye nyama...ravhiki...