Huyu alikua analia au??
eheheheeh.. habari kama hii akiileta msaga sumu pangekua hoi humu..
BTW Nje ya Maada kwakweli mi binafsi neema za Allah nazipenda sana(msambwanda) lakini huo Naomba niwaachie wenzangu..
Ningekuwa ni huyo jamaa, ningewaomba walionipa hiyo kofia wanipe mswaki, kwani mswaki ni muhimu zaidi ya kofia.
AnachekaHuyu alikua analia au??
Ningekuwa ni huyo jamaa, ningewaomba walionipa hiyo kofia wanipe mswaki, kwani mswaki ni muhimu zaidi ya kofia.
Meno amegeuka rangi, hatari sana