Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,869
- 828,403
Kuna vitu nitaviandika hapa na baadhi watasema mbona matajiri hawafanyi hivyo!? Lakini jibu ni moja tuu.. Wamefanya hivyo pamoja na mengine ndio maana wamefika hapo walipo
Sasa mada hii si kwa ajili ya utajiri pekee bali na mambo mengine mengi yatakayokusaidia sana maishani
1. Nguo/vazi
Hiki kitu kimebeba sehemu muhimu ya maisha yako
Kupata/kukosa
Furaha/huzuni
Kusimama/kuanguka
Kuna kila aina ya vazi kwenye kila tukio.. Nguo ni utambulisho wako binafsi na ni utambulisho wa tukio na ni kumbukumbu pia
Ilikusitiri kwa mengi ikakulinda hata nyakati ngumu
Inapoozeeka, kuchuja, kufubaa ama kuchanika.. Usiigeuze dekio/tambara la deck .. Itaondoka na baraka zako zote..
Ukiona haikufai tena lakini inafaa kwa wengine ifue vizuri, itakase kwa chumvi igawe sehemu sahihi! Epuka sana kumpa jirani au ndugu asiye eleweka sana!
Isiyofaa kabisa agana nayo kwa utumishi mwema kisha ipige moto
NB: Nguo za urithi hubeba roho ya marehemu! Zinene kabla ya kutumia, usigawe wala usiuze!
2. Ardhi/shamba/nyumba
Usinunue hivyo vitu vilivyowekwa rehani.. Kisha mhusika akashindwa kukomboa na hatomaye kupigwa mnada! Usipotithi madeni utarithi maumivu
3. (Hili litapata upinzani) lakini si vizuri kumchinjia mgeni mnyama umfugaye! Unamhudumia kila siku kwa upendo kumbe moyoni mwako una lako jambo
Kwahiyo siku akija mtu wako wa maana yeye thamani yake inaishia hapo! Akichinjwa roho yake itakuwa juu ya huyo mgeni..
4. Epuka kununua Godoro used.!
Tunaweza kununua vitu vingi mtumba na kuvifua ama kuvisafisha ili kuondoa uchafu na kufubaza nguvu hasi yoyote lakini vipi kuhusu godoro
Kati ya vitu vinavyobeba nishati nyingi na kuhifadhi godoro ni namba moja.. Maana katika masaa 24 lina direct domination isiyopungua masaa 8
Na magodoro hatari zaidi ni magodoro ya gesti za shortime.. Yana accumulation kubwa sana ya mixed energies kwa wakati mmoja.. Lakini wengi hawajui hayo!
Ni rahisi mno kupata magonjwa ya kimwili na ya kiroho kwenye gesti za namna hiyo
4. Mimea nyumbani
Ni vizuri kuwa na mimea mbalimbali nyumbani.. Kwakuwa inakusaidia urembo, kutunza mazingira nk
Lakini si mimea yote ni mizuri.. Epuka kabisa mimea isiyozaa matunda, mimea isiyotoa maua, mimea yenye miba, mimea yenye mizizi inayosambaa badala ya kwenda chini.. Mimea isiyokimbiliwa na wadudu nk
5. Malighafi hasi
Epuka kumiliki/ kuhifadhi malighafi nasi
Chochote kina hope dele as na wachawi na waganga wa kienyeji... Mfano kwenye kabati lako la nguo una kaniki😀 ya nini sasa hiyo