Maandishi kwenye t-shirt

Maandishi kwenye t-shirt

kuna binti nilimuona amevaa tshirt imeandika i love blowjob that my job
 
Kuna Mdada nilimuona imeandikwa "I'm A Single lady" sasa sijui alikuwa anajipa Promo?
 
I have one written " YOUR MUM AND I ARE JUST FACEBOOK FRIENDS"
 
Jana nikiwa kazini mara nikamuona sharo-b mmoja katinga t-shirt yake iliyochorwa fuvu la mtu akiwa amechuchumaa kuonyesha ana-fart. Kuna maandishi yameandikwa
'SILENT BUT DEADLY'.
Ikanikumbusha t-shirt nyingine ya jamaa mmoja hapohapo kazini iliyokuwa imeandikwa
'FIFTEEN MEN ON DEADMAN'S CHEST' huku imechorwa vikaragosi 15 kwenye eneo lililosawa na kifua cha jamaa.

Sijui wanavaa wakijua ama inatokea tu.

weka uliyoona.

hiyo t-shirt ya 15 men on dead man's chest labdaa neno chest lilimaanisha SANDUKU! Anyway ni mtazamo tu jamani based on semantics interpretation.
 
"Finally 21, and Legally Able to Do Everything I've Been Doing Since 15″

 
na kuna dada mmoja alikuwa amevaa kanisani imeandikwa "if your dick could be as bigger as your mouth maybe i could be interested" nkamuuliza unaelewa? akaleta kujua kwingi, ilikuwa village, nkampotezea
 
Yap vizuri deadman, utafikiri wamevalishwa
 
mi ninayo yakwangu imeandikwa i dont do mornings
 
niliona mmoja buguruni kavaa t-shirt mbele imeandikwa DON'T DISTURB ME, NYUMA IMEANDIKWA ALREADY DISTURBED.MWINGINE UBUNGO IMEANDIKWA ****ING MACHINE
 
Back
Top Bottom