Maandiko haya yana ukweli wowote?

butron

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
5,626
7,909
Tazama haya maandishi alafu uyatafakari kama yana ukweli wowote

veh.jpg
 
Kuna mama mmoja aliropoka mahali na kusema "...nimemkwamisha mme wangu asipate maendeleo mara nyingi Sana. Kuna wakati sijui alifuma wapi pesa km sh mil 18 akaniomba ushauri anataka anunue gari la kutembelea, haraka nikakataa wazo lake kwa hofu kuwa akiwa na gari itakuwa rahisi sana kuporwa mume. Nikamshauri tununue tu shamba. Mume akakubali wazo hilo. Ikafika mahali jamaa kila akipata pesa ndefu mama anamkatalia asifanyie kitu kinachomfanye aonekane mbele ya watu hasa wanawake.
 
Back
Top Bottom