Maandamano yameanza kufa kabla hata hayajaanza?

Maandamano yameanza kufa kabla hata hayajaanza?

Na hela kulipa waandamanaji zimekamatwa


MUNGU hawezi kusimama na MAPEPO kama ayo yenye chuki zisizo na tija kwa Taifa la Tanzania

MUNGU IBARIKI TANZANIA 🇹🇿
 


Kadri siku zinavyokaribia, baadhi ya waliokuwa mstari wa mbele kuhamasisha maandamano wanaonekana kujiondoa mmoja baada ya mwingine. Hilo linaibua maswali kuhusu uimara wa mipango hiyo na kama kweli ilikuwa na uungwaji mkono wa kutosha.

Amani na utulivu vinapaswa kubaki kuwa kipaumbele. Tofauti za maoni zinaweza kushughulikiwa kwa njia za kisheria na za amani, huku kila mwananchi akiheshimu sheria na mamlaka zinazohusika.
Haya maneno yalikuwepo pia asubuhi ya Oktoba 2025.

Si Bure wewe unashiriki kuchochea maandamano!

Umemuangusha alikukipa Elfu 7bya bando na Lunch
 
Back
Top Bottom