Wazee wa iliyokuwa Jumuia ya africa ya mashariki wanatarajia kuandamana ili kuishinikiza serikali kuwalipa mafao yao.maandamano haya yanategemewa kufanyika tar 23 nov mwaka huu. Source: clouds fm. Hivi fedha za kuwalipa zimekwend wapi?