Maandamano ya wazee wa iliyokuwa EAC yako mbioni

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Wazee wa iliyokuwa Jumuia ya africa ya mashariki wanatarajia kuandamana ili kuishinikiza serikali kuwalipa mafao yao.maandamano haya yanategemewa kufanyika tar 23 nov mwaka huu.
Source: clouds fm.
Hivi fedha za kuwalipa zimekwend wapi?
 
Back
Top Bottom