Panga la Yesu
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 239
- 24
Jamani tupeni picha!
kwani yalifanyika!?? Tatizo umeme kwetu ulikatika hata hiyo taarifa sikuiona! Kama kunapic tafadhali!kama dar wamepata watu kiasi hicho wang'e kuwa mikoani wangekomea viongozi...
Hata wingi wa watu katika msiba wa mtoto wa jirani yangu ni zaidi ya maandamano ya hao wapenda ufisadi wa Dsm nzima. Ni aibu kwaoHaswaa tena yamefanyika kwenye jiji lenye wakazi takribani 5 mil lakini ukiyaona maandamano yenyewe hata tung'efanya maandamano kwenye ubalozi wa nyumba kumi tunge washinda....