Maandamano ya wanavyuo kuelekea nyumbani kwa Lowassa

Maandamano ya wanavyuo kuelekea nyumbani kwa Lowassa

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,146
Reaction score
7,685
Katika Hali ya kushtukiza maandamano makubwa ya wanavyuo wote wa mkoa wa Dodoma wanaandamana sasa kuelekea nyumbani mwa aliekuwa Waziri Mkuu mstaafu Ndg. Edward Lowassa.

Hali ya mambo inaonyesha ni zaidi ya wanavyuo 8000 Muda huu wakiwa katika misururu ya maandamano Area D na kufunga barabara za Majirani zake bwana Edward Lowassa kama Mh. sumaye na Samwel sita kuwafanya wachelewe Misa muda huu.

Aidha pia jeshi la polisi limeamua kuwapa ulinzi baada ya kuona wanaandamana kwenda kumuomba aokoe kuporomoka kwa soko la ajira
 

Attachments

  • 1427029512474.jpg
    1427029512474.jpg
    86.5 KB · Views: 2,582
  • 1427029545273.jpg
    1427029545273.jpg
    89.5 KB · Views: 2,384
  • 1427029562820.jpg
    1427029562820.jpg
    96.7 KB · Views: 2,060
Yaani Mungu akiamua kukuinua hakuna wa kukushusha hata ije gharika, Wanafunzi wa udom wameona ni nani kweli anafaa kuiongoza nchi, Lowassa Bwana Yesu akutangulie..!!
 
Aah,God knows aliyebeba maono yake,dini,kabila wala chama si kigezo ktk kutimiza maono ya Mungu...
 
Hao wako location hiyo movie inachezwa n timu yake mara mashehe w bagamoyo,mara wanafunzi wa vyuo tatasikia mengi mpka may
 
Mtanzania wa leo anachojali ni mkono kwenda kinywani. Hajali tena utu wake. This is very sad.
 
Wanachuo wakiandamana kumtaka Dr Slaa akachukue fomu....hawalipuliwa!! Tabia za kishenzi hizi....hivi huyu mla rushwa kishaanza kuongoza nchi! Tumekwisha Tanzania!
 
MAtatizo ya nchi hii hayawezi kutatuliwa kwa mihemuko ya kisiasa
 
Back
Top Bottom