kila cku wanasema Udom ni chuo kata sasa ndio nimeamini, ni wanafunzi gani wasiojitambua mpaka wanatumiwa na wanasiasa kwa kiasi hicho? wanafikiri huyo lowasa akiwa rais ndio atawapatia ajira? tatizo la ajira Tanzania ni mfumo mbaya wa Elimu ambao unaandaa wasomi wake kuajiriwa badala ya kujiajiri. Na wapi wataajiriwa ili hali hatuna viwanda? Wanafunzi wa Udom msitumike kama mtaji wa wanasiasa mwaka 2010 ndio waliomchangia kikwete hela ya kuchukua form ya urais, mapaka sasa wameona matokeo yake, nchi kila kona ni ufisadi tu kuanzia na kiongozi wa ngazi ya juu mpaka chini.