Maandamano ya wananchi kumuunga mkono Spika Ndugai

Kwahiyo tutaendelea kukopa mpk deni lifike kias gan ? ndo muache , maana hoja yenu ni tunakopa kwa vile hata waliotangulia walikopa ila hamfikiri deni linakuwa kubwa na lililopo tu hatulimudu
Hoja yenu kina nani?
 
Kukopa ni lazima na sio mbaya kama pesa zitatumika kama inavyokusudiwa, lakini tatizo ni katika hayo matumizi, wapo wale wanaoitwa wajanja wanazisubiri kwa UDI na uvumba !!
Kuna pesa za HEET. Mazingaombwe yake siyaelewi hata kidogo.
 
Aendee tu...yeye ndo alikuwa hatak maon huru ya wabunge...lkn hata kaul aliyotoa ilikuwa na maslai yake binafsii..mbona kpnd cha mwendazake alikuwa anakopa lkn kauli kama hiz alikuwa hazitoi..hii inamaana kwamba kuna namna alikuwa ananufaika na hii mikopo kwa kupewa %flan iv...sasa kpnd hik mama kaamua kumsusa ndo maana kajitoa shimon kuja kumfokea mama
 
tangu lini Ndugai akawa mwema ivyo mpk watu waandamane kwa ajili yake?
Au nyinyi wengine mmeanza kumjua jana Ndugai
 
Hlf ndo nyinyi mnasema hatuwez kujiendesha kwa tozo wakati huo huo tozo mnaipangia mahesabu makubwa , mnakuwaga mmetumia mjani nn ?
Una shida ya uelewa,kwa hiyo hayo mahesabu makubwa ndio nini? Ulipo japo Hata huelewi hizo tozo ni Bei gani unajisemesha tuu.
 
Yanaongozwa na Bavicha
 
Acha mambo ya kingese, wala haya ma attachments hayosemi chochote kuhusu covid. Tuliza msambwanda utoe hoja zinazohusiana na tukio husika.
 
WaTanzania wepi waandamane,naona sasa miccm mnaanza kupata wazimu ,kama ni kuandamana basi ni madai ya Tume Huru ya Uchaguzi na Madai ya kuihitimisha na kuitimiza ile katiba Mpya.

Aungwe mkono au mguu ? Kwa kubwa lipi ni bora ungelisema MiCCM muandamane na sio kuwashirikisha waTanzania wote,mbona wengi tulikwishaandamana na tuna uzoefu mkubwa tu,lakini kwa kuungana na liCCM ndugai,awaambie au wambieni wale covid 19 waandamane .
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…